Cheka sana,ila omba yasikukute..Ati Kumuachia Mungu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmekaa mnasubiri CHANJOO! Aiseee!!
This LAZY MENTALITY and IRRESPONSIBILITY ndio chanzo cha nyinyi kuwa mazombi mnaobugia MAKEMIKALI BILA KUHOJI.
Unamuachiaje Mungu??? [emoji1787][emoji1787]
Ati Kumuachia Mungu!!
Ni muda gani umepita tangu mlipo ambiwa ni stage 2 au 3?Wakat tunaenda hospital kwa mara ya kwanza, biospy ilisema ni stage 2 or 3. Hivyo kwa sasa sijui mkuu
Kwakweli usiache kujiangalia mara kwa mara, ukihisi uvimbe wowote ule , chukua hatua mapema, ogopa kufikiria labda utakua ni uvimbe wa kaqaidaNimeogopa 🥹 mpaka nimeangalia manyonyo yangu.
Pole sana mkuu, Mungu mwenye nguvu akawaonekanie..
Lakini unaongea nusu nusu sana mkuuHuyo mkeo anapona ndani ya MIEZI MITATU TU.
Ukiachana na wale MAKANJANJA wanaokuuzia MAKEMIKALI na MACHANJO anapona haswa na anakuwa SWALAMA WASWALAMANTA.
Unachotakiwa ni kuwa na AKILI TIMAMU tu, na kujiamini.
Pole ndugu yangu na pole kwa familia yako mkuu.yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Usijali mkuu...Hapana sijawah kumskia
Apumzike kwa amani brother, alikumbwa na kansa ya eneo gani?Nina thread ya kumpoteza kaka yangu mpendwa humu, Dr, christopher Kilongola wengi wanamfahamu, aliwahi saidia member watatu humu kwa tatizo kama lako, ila hatukujua kumbe yeye pia alikua muathirika wa cancer, na kusaidiwa watu ilikua ni research yake ili ajiponye, badluck alitutoka last 3 years.
Ndugu, kutana na madaktari, talk to them the world, nenda pale muhimbili, nenda pale ocean road, wapo vijana wanapambana na haya mambo, wanaweza kuwa na kitu, actually issue yako is too sensitive ila kutana na doctor, si kwa appointment ya matibabu, kutana nao ongea nao kama familia. Watakupa kitu,
Nimepoteza kaka na babu kwasababu ya magonjwa hatari kama ya mkeo, ila brother wangu did something yeye kama daktari, naamini yupo mtu sahihi na si dawa za kienyeji.
Mkeo ataishi usijali.
Pole sana mkuu MWENYEZI MUNGU asaidie, mama yangu alifariki na kansa ya titi mwaka 2013, alikuwa kashafanyiwa operesheni ndo maisha mkuu tutafanyaje!?Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Ni kweli,inahitaji upendo ulio jaa uvumilivu.Pole sanaa! Hongera kwa kumuuguza mkeo
mwanaume mwingine angekua ashakimbia.
yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Hivyo itumikaje mkuu?Ni ushauri nzuri kuhusu anticancer property ya soursop leaves ila concentration ni kubwa hiyo Kwanza atapata maumivu ya tumbo na inaweza mletea shida katika figo baada ya kutumia muda mrefu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app