Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Whether protein is bad or signal is bad.
Sisi wanadamu hatuwezi kuwa waathirika wa vina Saba vyetu wenyewe..

Genes Kama blueprint ya kuzalisha protein ( Cells ) Ni kiwanda kinachozalisha protini kulingana na taarifa au signo zinazozifikia au kupokea.

Badili signo kubadilisha uzalishaji wa proteins hizo.... Environment.
# Epigenetics.
#Mawazo + Hisia jirani wa kansa.
 
Njoo tupeane moyo.

Nimeanza kumuuguza dada yangu cancer kuanzia mwaka 2019,

Tuliambiwa afanye Chemo baadae afanyiwe upasuaji....

Akaanza mizunguko minne akamaliza, ikaongezwa minne akamaliza. Akarudishwa Muhimbili Kwa ajili ya upasuaji, madaktari wakatuambia arudi ocean road uvimbe haujapungua.

Ikaongezwa mizunguko 8 Tena , akapewa transfer Muhimbili awamu hii mgonjwa akagoma kufanyiwa Op. Akakaa nyumbani mwaka bila matibabu ya hospital.

Ziwa likatoboka likawa linamwaga maji pamoja na usaha, tukarudi hospital,wakasema aanze chemo upya ikaenda mizunguko 6 na mionzi 16. Kamaliza mwez wa 10 mwaka huu Kwa Sasa kapewa mapumziko ya miezi mitatu na dawa anatumia.

Eneo la ziwa limefutika na wekundu kama kamwagiwa maji ya moto.

Cancer ni stage 4.

Ushauri wangu
Kama unaweza mpeleka ocean road mpelekee pale.
Pili kidonda kisafishwe Kila siku na maji ya drip wekeni na fragine ya vidonge mnatwanga mnapakaa eneo la kidonda kabla ya kukifunga

Kidonda usikifunge na khanga Wala kitenge funga na bandage.

Ajitahidi kunywa juisi ya stafeli angalau Kila siku glass Moja.
Majani yake pia chemsha anywee.

Mungu atutie nguvu katika Janga hili 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kuna mtu mmoja nilikutana nae machakos kenya nikiwa na shida fulani,ni daktari mwenye bustani ya dawa na alinisaidia nikapona kabisa,katika moja ya maongezi yake alizungumzia cancer ila sina hakika na jambo alilonalo mkeo kama liko mahala anapoweza kufanyia kazi,
Nitajitahid nikutafutie mawasiliano yake uone kama kuna analoweza kukushauri ama kukusaidia
 
yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililo athirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi 3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na;
MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHO PONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Pole ndugu yangu na pole kwa familia yako mkuu.
Mtie moyo kwa madhira anayopitia.
 
Nina thread ya kumpoteza kaka yangu mpendwa humu, Dr, christopher Kilongola wengi wanamfahamu, aliwahi saidia member watatu humu kwa tatizo kama lako, ila hatukujua kumbe yeye pia alikua muathirika wa cancer, na kusaidiwa watu ilikua ni research yake ili ajiponye, badluck alitutoka last 3 years.
Ndugu, kutana na madaktari, talk to them the world, nenda pale muhimbili, nenda pale ocean road, wapo vijana wanapambana na haya mambo, wanaweza kuwa na kitu, actually issue yako is too sensitive ila kutana na doctor, si kwa appointment ya matibabu, kutana nao ongea nao kama familia. Watakupa kitu,
Nimepoteza kaka na babu kwasababu ya magonjwa hatari kama ya mkeo, ila brother wangu did something yeye kama daktari, naamini yupo mtu sahihi na si dawa za kienyeji.
Mkeo ataishi usijali.
Apumzike kwa amani brother, alikumbwa na kansa ya eneo gani?
 
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.

Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.

Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.

Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.

Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.

KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.

KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.

Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu

Ushauri wowote pia napokea.
Pole sana mkuu MWENYEZI MUNGU asaidie, mama yangu alifariki na kansa ya titi mwaka 2013, alikuwa kashafanyiwa operesheni ndo maisha mkuu tutafanyaje!?
 
Pole Man!

Nimeumizwa sana na Hilo!

Hebu ajaribu urine therapy,ule wa asubuhi na mapema anywe tu was kwake mwenyewe!

Nimeongozwa na mithali 5:15 ,sio tiba ngeni hata mababu,wachina na wahindi hasta king Solomon alitumia!!

Hivyo TU!!

Back
Top Bottom