Huyu Merz, baada ya viongozi wa Iran kuuliwa alienda Marekani kujipendekeza kwa Trump. Nakumbuka alisema Iran itakuwa kama Syria, alikuwa hajui nguvu za Iran, baada ya vita kajua Iran ni super power.
📌Planet Data bundles was HereWanaukumbi.
⚡️Germany's Merz on Iran:
The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days.
But today we must acknowledge: it has not been solved.
That is why we, from the European side, are also seeking a diplomatic solution.
I hope that we succeed, but I am not certain.
===============
Marekani na Israeli walidhani mwanzoni kwamba tatizo hili lingeweza kutatuliwa ndani ya siku chache.
Lakini leo lazima tukubali: halijatatuliwa.
Ndiyo maana sisi, kutoka upande wa Ulaya, pia tunatafuta suluhisho la kidiplomasia.
Natumaini tutafanikiwa, lakini sina uhakika.
View: https://x.com/megatron_ron/status/2048849287753196027?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hio regime imechange lini,dumbass.Lengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Kipofu haoni, do you even happen to know the meaning of this term "regime" in the first place?Hio regime imechange lini mkuu,can u hear yourself.
Wewe endelea kujiliwaza na kujifariji Iran ndiyo super power Mashariki ya Kati.Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?
Iran kaonyesha uwezo mzuri na mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.
Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.
Iran anazuiwa kuwa superpower
twede taratibu Regime change ipi?Lengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
WEWE ndio una haraka Ritz kisa mahaba yako na waajemi hata huoni, ni suala la muda tu regime itakuwa replaced, the nation is currently acting like a dying horse, mateke ya hapa na pale tu, America wanaenda nae taratibu tu, white folks gotta lots of plans, and tend to move accordingly, not randomly as you might've done.Wewe endelea kujiliwaza na kujifariji Iran ndiyo super power Mashariki ya Kati.
Wewe umetoa sababu zako viongozi wa Iran hawajauliwa vitani wameuliwa kwa kuviziwa majumbani kwao {Ugaidi].
Iran yupo kwenye vikwazo miaka 47 lakini sijui kama unalijua hili.
Kwa nini Iran ni Super Power?
Anapigana vita na Marekani na Israel mpaka sasa hivi wameshindwa kumpiga Iran wanaomba mazungumzo ya kumaliza vita.
Iran, kapiga kambi zote za Marekani Qatar, Kuwait, Bahran, Saudia Arabia, Jordan, Dubai, wanajeshi wote wa Marekani wamekimbizwa.
Kabla ya vita tulionyeshwa meli za kivita zinakwenda kungusha utawala wa Iran
twede taratibu Regime change ipi?
Viongozi waliowekwa na Marekani ni kina nani?
Nani kakuambia Iran hawauzi mafuta?
Wewe endelea kujiliwaza na kujifariji Iran ndiyo super power Mashariki ya Kati.
Wewe umetoa sababu zako viongozi wa Iran hawajauliwa vitani wameuliwa kwa kuviziwa majumbani kwao {Ugaidi].
Iran yupo kwenye vikwazo miaka 47 lakini sijui kama unalijua hili.
Kwa nini Iran ni Super Power?
Anapigana vita na Marekani na Israel mpaka sasa hivi wameshindwa kumpiga Iran wanaomba mazungumzo ya kumaliza vita.
Iran, kapiga kambi zote za Marekani Qatar, Kuwait, Bahran, Saudia Arabia, Jordan, Dubai, wanajeshi wote wa Marekani wamekimbizwa.
Kabla ya vita tulionyeshwa meli za kivita zinakwenda kungusha utawala wa Iran
twede taratibu Regime change ipi?
Viongozi waliowekwa na Marekani ni kina nani?
Nani kakuambia Iran hawauzi mafuta?
DuhKipofu haoni, do you even happen to know the meaning of this term "regime" in the first place?
Usikimbie hoja, usomi na yanayoendelea middle east wapi na wapi, kama kwata limekushinda usinyee kambi, just step aside and move on. Safu ya uongozi wa Iran imekuwa terminated and it's just a matter of time to be replaced, yanayoendelea saizi ni maigizo ya vibaraka wa regime husika kukaza shingo, meanwhile hakuna wanachoweza kufanya in a long run. Time will tell kama kwa Assad wa Syria aliyeko ughaibun Russia akila bata kwenye corridor za Ikulu ya Putin.Duh
Nyinyi wasomi wa mfumo wa nacte
Kweli hii elimu majanga
Wewe unaoneokana una umri mdogo. Unatoa mfano wa Sadam Hussein hata pisto alikuwa hawezi kutengeneza zaidi ya kuuziwa makombora ya Scud. Hujui nguvu za Iran unaleta mahaba. Ulaya na Marekani na Israel sasa hivi wanajua nguvu ya Iran wewe upo Njombe endelea kupinga. Baada ya vita na Iraq walipigana zaidi ya miaka 9 Ulaya na Marekani walikuwa wanaisadia Iraq,WEWE ndio una haraka Ritz kisa mahaba yako na waajemi hata huoni, ni suala la muda tu regime itakuwa replaced, the nation is currently acting like a dying horse, mateke ya hapa na pale tu, America wanaenda nae taratibu tu.
Mbabe wa middle East? are you kidding me! Saddam Hussein aliingia kwenye combat na USA, England, France na wengine walau huyo ndio ungeweza kusema alikuwa mbabe, hawa Iran wamekuwa destabilized kwa mawe ya kurushwa tu toka angani mpaka Raisi wao "hewa" anawaambia waanze kuwasha taa mbili kwa wenye nyumba za taa kumi, vipi kuhusu milo jee, kama umeme tayari ni anasa. Na huyo raisi wakimtaka wanamchomoa tu, umesahau yule aliyeangushwa na ndeke yake milimani kule? Hamna nchi hapo.
Wewe hujui vitu vingi wanawekewa sema havina hathari yeyote sababu wana nguvu mfano.Wewe kwa uelewa wako Superpower anaweza kumuwekea vikwazo?
Iran anaweza kuwa na nguvu kwa kiwango Fulani lakini kusema ni Superpower ni uongo
Ila kwa pale Mashariki ya Kati nakubaliana na wewe anau- min superpower
The UK has imposed extensive sanctions on Russia, targeting over 3,000 individuals, entities, and ships, including major restrictions on energy, banking, and military supplies. Key measures include bans on Russian oil imports, an oil price cap, asset freezes on banks (including the Central Bank), and bans on exporting dual-use technology and luxury goods to Russia.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Nimekupa huu mfano Urusi siyo Super Power?>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wewe unaonekana ni mzee aliyekomaa na propaganda, ubabe wa taifa ni pamoja na uwezo wake kiuchumi kuwezesha nchi husika kumili na kuzitumia silaha kubwa, USA mwenyewe achilia mbali mataifa mengine makubwa duniani anatumia silaha toka Israel, U.K, England, Russia n.k. Endelea kukusanya maneno mengi, mbwembwe nyingi za nadharia ila matokeo practical tutayaona kwenye battlefield.Wewe unaobdkana una umri mdogo. Unatoa mfano wa Sadam Hussein hata pisto alikuwa hawezi kutengeneza zaidi ya kuuziwa makombora ya Scud. Hujui nguvu za Iran unaleta mahaba. Ulaya na Marekani na Israel sasa hivi wanajua nguvu ya Iran wewe upo Njombe endelea kupinga. Baada ya vita na Iraq walipigana zaidi ya miaka 9 Ulaya na Marekani walikuwa wanaisadia Iraq,
kukabiliana na vikwazo vya silaha vilivyowekwa juu yake na Marekani na washirika wake wa Magharibi. Tangu 1993, Iran imetengeneza vifaru vyake, meli za kivita, makombora, rada, boti, manowari, magari ya angani yasiyo na rubani, na ndege za kivita.
Baadhi ya mambo yake ni haya, Infantry gear
Infantry weapons
Vehicles
Artillery
Missiles
Air defense
Aircraft, Transport aircraft, Unmanned aerial vehicles, Aircraft Originl,
Endelea kumeza propanganda za Ulaya na Marekani.
REGIME CHANGE maana yake ni nini kwa lugha ya kwetu?Lengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Hujui hata unachokitetea unazunguka tu umekuja na mfano wa Saddam ndiyo maana nikaona hujui lolote.Wewe unaonekana ni mzee aliyekomaa na propaganda, ubabe wa taifa ni pamoja na uwezo wake kiuchumi kuwezesha nchi husika kumili na kuzitumia silaha kubwa, USA mwenyewe achilia mbali mataifa mengine makubwa duniani anatumia silaha toka Israel, U.K, England, Russia n.k. Endelea kukusanya maneno mengi, mbwembwe nyingi za nadharia ila matokeo practical tutayaona kwenye battlefield.
Sasa wewe na Kansela wa Ujerumani,nani ana high security clearance,nani anapokea taarifa nyingi za kiusalama,yaani unataka kumbishia Kansela au wewe unajua kuliko Kansela?. Kansela wa Ujerumani kila siku anapokea taarifa kwa makamanda wake wa NATO, so anajua Vingi kuliko wewe,mpaka anaongea anajua anacho kiongea.Lengo la USA kwa Iran limetimia,