ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Ya kwamba ww unajua kuzidi kansera wa Ujerumani ?Lengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Kweli bongo bahati mbaya.