Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Sasa AI ndio sources ya habari? au wasomi siku hizi mmeanza reference kutoka kwenye AI tools?

Wewe ukikataa haimanishi kama unajua kuliko Kansela, huna unacho kijua,huyo alive ongea na moja ya kiongozi ambaye ana security clearance (sujui kama unajua maana ya hii terminology "security clearance"),anacho kiongea anajua kuliko wewe ndugu yangu,Mbonde kutoka dunia ya tatu.
Kuwa mpole, AI inafanya summary ya analysis kwenye verified sources, link zina orodheshwa pembeneni for further clarifications, ni issue ya wewe sasa kudig deep ukuhitaji taarifa zaidi. Nakusihi usiachwe nyuma na dunia Katika matumizi ya Technology kama ilivyo asili ya mtu mweusi wa Africa kupenda kuwa nyuma katika kila kitu.

Narudia tena, hao westerners wanaitikadi zao, anapotokea mwenzao kuwa against nao, humpinga from left to right, wewe unataka kusema ujerumani wanachakata taarifa za ulimwengu zaidi ya Pentagon? sio tu huyo, wapo wengi tu, mpaka America kwenyewe Democratic wanampinga na kumsagia kunguni, hiyo ni kawaida sana kwao, hata Adolf Hitler alikuwa na Intelligence kama hizo unazosema huyo anazo, lakini hazikumsaidia maana alichanga karata zake vibaya.

Mimi nakuambia Iran imechakaa, mwenyewe umeshuhudia, viongozi wote wakuu waliokuwepo hakuna tena ila zimebaki stori za kuhamisha magali, eti katoda Ayatollah kaingia Ayatollah, denial is for real. Biashara Iran haziko kama zamani, vikwazo bado vya moto, vita imewekwa pose, usiniwaze mimi na location yangu, haikusaidi wewe wala Iran. Trump kaishika dunia makende, and that's it.
 
🇸🇦 Saudia husafirisha bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 301 kwa mwaka, karibu mafuta yote. Mshipa wake mkuu umefungwa kwa ufanisi na bomba lake la ziada haliwezi kufunika pengo.

  • Bomba la Mashariki-Magharibi linaweza kuhamisha mafuta hadi bandari ya Bahari Nyekundu ya Yanbu, likipita Hormuz
  • Lakini hata likiwa na uwezo kamili, zaidi ya nusu ya mauzo ya mafuta ya Saudia hayana pa kwenda
  • Mapipa milioni 4 kwa siku ya uzalishaji wa Saudia kwa sasa hayapo mtandaoni
  • China, India na Japani ndizo wanunuzi wakubwa na wote wanasubiri
  • Uchumi wa dola trilioni 2.51 uliojengwa karibu kabisa kutokana na mapato ya mafuta, huku watu milioni 35 wakiutegemea

Hii ndiyo sababu kila kiongozi wa dunia anaruka hadi Riyadh hivi sasa.

Chanzo: @jackprandelli

View: https://x.com/marionawfal/status/2049085786885173616?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Baada ya wiki kadhaa za makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano, mazungumzo kati ya Washington na Tehran yamevunjika kabisa.

Madai ya Iran yanaenea zaidi ya suala la urani iliyorutubishwa. Tehran inasisitiza fidia kamili kwa uharibifu kutokana na mzozo wa hivi karibuni, dhamana za usalama dhidi ya mashambulizi ya baadaye ya Marekani au Israeli, na makubaliano rasmi ambayo yanahakikisha kupita salama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz huku ikihifadhi udhibiti wa Iran kwenye njia ya maji.

Marekani imejibu kwa kupeleka vikundi vitatu kamili vya mashambulizi ya meli za kivita za ndege Mashariki ya Kati - mkusanyiko mkubwa zaidi wa nguvu za meli za kivita za Marekani katika eneo hilo katika zaidi ya miaka 20.

Utawala wa Trump unadai kutorutubishwa kabisa na kuondolewa kabisa kwa nyenzo za nyuklia kutoka Iran.

Tehran inakataa kabisa makubaliano yoyote ya haraka kuhusu uwezo wake wa nyuklia.

Unapoangalia pengo kati ya misimamo hiyo miwili, makubaliano halisi yanahisi kuwa mbali sana.

Mvutano unaongezeka kwa kasi.
Time will tell.
 
Kuwa mpole, AI inafanya summary ya analysis kwenye verified sources, link zina orodheshwa pembeneni for further clarifications, ni issue ya wewe sasa kudig deep ukuhitaji taarifa zaidi. Nakusihi usiachwe nyuma na dunia Katika matumizi ya Technology kama ilivyo asili ya mtu mweusi wa Africa kupenda kuwa nyuma katika kila kitu.

Narudia tena, hao westerners wanaitikadi zao, anapotokea mwenzao kuwa against nao, humpinga from left to right, wewe unataka kusema ujerumani wanachakata taarifa za ulimwengu zaidi ya Pentagon? sio tu huyo, wapo wengi tu, mpaka America kwenyewe Democratic wanampinga na kumsagia kunguni, hiyo ni kawaida sana kwao, hata Adolf Hitler alikuwa na Intelligence kama hizo unazosema huyo anazo, lakini hazikumsaidia maana alichanga karata zake vibaya.

Mimi nakuambia Iran imechakaa, mwenyewe umeshuhudia, viongozi wote wakuu waliokuwepo hakuna tena ila zimebaki stori za kuhamisha magali, eti katoda Ayatollah kaingia Ayatollah, denial is for real. Biashara Iran haziko kama zamani, vikwazo bado vya moto, vita imewekwa pose, usiniwaze mimi na location yangu, haikusaidi wewe wala Iran. Trump kaishika dunia makende, and that's it.
So Trump anachukiwa? So anachukiwa, mbona kwenye mpango wa kuizinisha bajeti ya hela kwa ajili ya vita ,kuna Maseneta wa Republican walipinga ina maana na hawa wanachuki?

Yaani unavyozani unavyo amini wewe na mimi nitaamini kama wewe? Namuamini Kansela wa Ujerumani kuliko wewe. Iran yupo vizuri zaidi ya jana na China mpaka kesho anapitisha meli zake za mafuta na ndiye mnunuzi wa mafuta kwa asilimia zaidi ya tisini,hamna hata kimoja walicho fanikiwa Iran.
 
🇸🇦 Saudia husafirisha bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 301 kwa mwaka, karibu mafuta yote. Mshipa wake mkuu umefungwa kwa ufanisi na bomba lake la ziada haliwezi kufunika pengo.

  • Bomba la Mashariki-Magharibi linaweza kuhamisha mafuta hadi bandari ya Bahari Nyekundu ya Yanbu, likipita Hormuz
  • Lakini hata likiwa na uwezo kamili, zaidi ya nusu ya mauzo ya mafuta ya Saudia hayana pa kwenda
  • Mapipa milioni 4 kwa siku ya uzalishaji wa Saudia kwa sasa hayapo mtandaoni
  • China, India na Japani ndizo wanunuzi wakubwa na wote wanasubiri
  • Uchumi wa dola trilioni 2.51 uliojengwa karibu kabisa kutokana na mapato ya mafuta, huku watu milioni 35 wakiutegemea

Hii ndiyo sababu kila kiongozi wa dunia anaruka hadi Riyadh hivi sasa.

Chanzo: @jackprandelli

View: https://x.com/marionawfal/status/2049085786885173616?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Huyo mchambuzi wako wa mchongo hana tofauti na Marioo tu, yeye ni kuchakata tweets tu, wenzake Iran makaburi hayaishi, sometimes it's better to acknowledge the elephant in the house and just let things slide away as easily as that, contrary to this, prevalence of endless burials is inevitable.
 
Bora mie uwezo wangu ni mdogo, we mwenzangu ndio hamnazo kabisa, yaani nchi anakufa muasisi wake let say Nyerere tena kwa mashambulizi toka nje jirani tu, safu yote ya ulinzi na usalama unafutwa, mawaziri, hata huyo anayeaminika kuwa ndio mrithi wake inasemekana yupo ICU, hata hao waliachwa hai kama negotiators ikiwemo Speaker na waziri wa mambo ya nje ni kwa maelekezo maalumu toka US kwenda Israel, hata huyo raisi wa sasa ni wa juzi tu baada ya aliyekuwepo kulipuliwa kwenye ndege yake, alafu mnaitwa kwenye meza ya mazungumzo? kuzungumza nini sasa na adui aliyeanza uharibifu wa kiwango hiki?

Binafsi, nilitarajia Israel pawe hapakaliki kwa mashambulizi yasiokwisha kutoka kwa superpower wa Middle East kama regime ingekuwa ndio ile ile. Tena bado wamewekewa military blockade hapo hapo jirani we maamuma unakuja kuongea upuuzi gani hapa! hata Trump anasema huwa hawaelewi waongee na nani, Kuondoka kwa ile safu nzima ndio mwanzo mzuri wa anguko lenyewe, ni kahatua tu and time is there to tell the tale, na ifahamike tu kuwa USA hayupo kwenye full range war na Iran so-far.

Bahati nzuri USA anapigana vita kwa staha, japo vita ni vita mura!!! haina macho, ila ingekuwa kama US ndio reckless kama IRAN wenyewe wanaorusha mafataki Dubai, Qatar na kila upande wa dunia bila kulenga target za maasimu wake direct ungekuta Tehran ni majivu. Focus ya huyo superpower ingekuwa base za jeshi Israel pale direct, mwenzako anakugonga nyumbani kwako, anaua wazazi wote, wazee wa ukoo, wewe unarusha mikuki kwa mahawara zake kisa kwake ulinzi mkali bado unakuja kutamba ujinga, idiots. Hata Talibans wanaringa licha ya kuachiwa nchi iliyovunjika vunjika kama uhuru fake wa Africa isiyoweza ungana tena licha ya vibaraka weusi kwa weusi kujichukulia madaraka, imebaki kuwa kama malaya tu ambae Russia akitaka kujipigia anajipigia tu, China nae akıtaka anajipigia tu, sio ufaransa ujerumani yaani wote wanajipigia tu. Kama Syrian tu ya Assad na Iran ile ya kina Ayatollah ndio basi tena hivyo.

Wazee Waliosema Israel wataifuta kwenye sura ya dunia wote wamefutika, now you can see who has the cards inhand.
Bila shaka kuendelea kujadiliana na ww ni matumizi mabaya ya muda na saver za jf kwaheri.
 
UAE imetangaza kujiondoa kutoka OPEC na OPEC+.

UAE imesema itaongeza uzalishaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa baada ya kuondoka katika kundi hilo ili kukidhi mahitaji ya dunia.

Kwa kujiondoa OPEC, UAE haitafungwa tena na mgao wa uzalishaji na itaweza kuzalisha na kuuza nje mafuta zaidi.

Saudi Arabia haifurahishwi na hatua hiyo, ambayo inaweza kusababisha Riyadh kupitia sera zake za mafuta.
UAE kisha filisika mpaa anaomba Bailout walidhani kuwa karibu na Israel itawasaidia kumbe ndio imewaletea balaa

View: https://youtube.com/shorts/RXNOtP_KjeY?si=yhvUkzFqgjQcdCY9
 
Trump anajuta kuishambulia Iran.

Bei ya mafuta yapanda zaidi ya 3% huku usumbufu wa Hormuz ukiendelea, UAE yaondoka OPEC
——
Bei ya mafuta yapanda kwa zaidi ya 3% Jumanne huku Mlango-Bahari wa Hormuz ukiendelea kufungwa kwa kiasi kikubwa. Hata hivyo, faida zilipungua kwa kiasi baada ya UAE kutangaza kuwa itaondoka OPEC na OPEC+, na kuongeza shinikizo kwa miungano inayozalisha mafuta.

Hatima za Brent ghafi kwa Juni ziliongezeka kwa $3.37, au 3.1%, hadi $111.60 kwa pipa ifikapo saa 13:36 GMT. Hii ilifuatia ongezeko la 2.8% katika kikao kilichopita, wakati bei zilifungwa kwa kiwango cha juu zaidi tangu Aprili 7. Mkataba sasa umerekodi ongezeko la siku saba mfululizo.

Hatari za US West Texas Intermediate (WTI) kwa Juni zilipanda kwa $3.72, au 3.7%, hadi $100.09 kwa pipa baada ya kupanda kwa 2.1% katika kikao kilichopita. Siku ya Jumanne, hati za WTI pia zilirudi nyuma zaidi ya alama ya $100 kwa pipa kwa mara ya kwanza tangu Aprili 13.

Bei ziliacha baadhi ya faida zake za awali baada ya UAE kusema Jumanne kwamba imeachana na OPEC na OPEC+, hatua ambayo ilileta kikwazo kwa makundi ya kuuza nje mafuta na kiongozi wao halisi, Saudi Arabia.
 
So Trump anachukiwa? So anachukiwa, mbona kwenye mpango wa kuizinisha bajeti ya hela kwa ajili ya vita ,kuna Maseneta wa Republican walipinga ina maana na hawa wanachuki?

Yaani unavyozani unavyo amini wewe na mimi nitaamini kama wewe? Namuamini Kansela wa Ujerumani kuliko wewe. Iran yupo vizuri zaidi ya jana na China mpaka kesho anapitisha meli zake za mafuta na ndiye mnunuzi wa mafuta kwa asilimia zaidi ya tisini,hamna hata kimoja walicho fanikiwa Iran.
China anapitisha wewe ukiwa kama gateman sio? wewe unadhani vilio na lawama zote kwa nn ni kwa Trump inhalai mambo yako vibaya kwake, si wangekuwa wanachekelea na kuongeza nguvu Iran ili Trump afie mbali kabisa.

Tafuta taarifa kwenye sources mbalimbali verified, sio unaegemea kwa wanasiasa, hata huyo Challencor ni politician tu, kile anasema analenga favor ya status ya nchi yake mbele ya misimamo ya EU ambao wanalia maana Trump kawatema kiaina pale Ukrain, NATO kashuka msaada na anatishia kujitoa, huyo Chancelor anacheza na joto la wapiga kura wake na vitu ka hivyo, usiniamini mimi sijaomba hivyo, mi sio messiah mkombozi wa hii vita, ni Trump pekee ndio anazo cards za mchezo, maybe na Benjamin kiasi. Hao wengine wanabaki kuwa victims tu na wapiga zumari with zero action.
 
Trump anajuta kuishambulia Iran.

Bei ya mafuta yapanda zaidi ya 3% huku usumbufu wa Hormuz ukiendelea, UAE yaondoka OPEC
——
Bei ya mafuta yapanda kwa zaidi ya 3% Jumanne huku Mlango-Bahari wa Hormuz ukiendelea kufungwa kwa kiasi kikubwa. Hata hivyo, faida zilipungua kwa kiasi baada ya UAE kutangaza kuwa itaondoka OPEC na OPEC+, na kuongeza shinikizo kwa miungano inayozalisha mafuta.

Hatima za Brent ghafi kwa Juni ziliongezeka kwa $3.37, au 3.1%, hadi $111.60 kwa pipa ifikapo saa 13:36 GMT. Hii ilifuatia ongezeko la 2.8% katika kikao kilichopita, wakati bei zilifungwa kwa kiwango cha juu zaidi tangu Aprili 7. Mkataba sasa umerekodi ongezeko la siku saba mfululizo.

Hatari za US West Texas Intermediate (WTI) kwa Juni zilipanda kwa $3.72, au 3.7%, hadi $100.09 kwa pipa baada ya kupanda kwa 2.1% katika kikao kilichopita. Siku ya Jumanne, hati za WTI pia zilirudi nyuma zaidi ya alama ya $100 kwa pipa kwa mara ya kwanza tangu Aprili 13.

Bei ziliacha baadhi ya faida zake za awali baada ya UAE kusema Jumanne kwamba imeachana na OPEC na OPEC+, hatua ambayo ilileta kikwazo kwa makundi ya kuuza nje mafuta na kiongozi wao halisi, Saudi Arabia.
Anaye msapoti Trump ni huyu Echolima1 msafisha vyoo kule Tela Aviv sababu ni kenge na Shetanyahu na wajinga wenzao
 
China anapitisha wewe ukiwa kama gateman sio? wewe unadhani vilio na lawama zote kwa nn ni kwa Trump inhalai mambo yako vibaya kwake, si wangekuwa wanachekelea na kuongeza nguvu Iran ili Trump afie mbali kabisa.

Tafuta taarifa kwenye sources mbalimbali verified, sio unaegemea kwa wanasiasa, hata huyo Challencor ni politician tu, kile anasema analenga favor ya status ya nchi yake mbele ya misimamo ya EU ambao wanalia maana Trump kawatema kiaina pale Ukrain, NATO kashuka msaada na anatishia kujitoa, huyo Chancelor anacheza na joto la wapiga kura wake na vitu ka hivyo, usiniamini mimi sijaomba hivyo, mi sio messiah mkombozi wa hii vita, ni Trump pekee ndio anazo cards za mchezo, maybe na Benjamin kiasi. Hao wengine wanabaki kuwa victims tu na wapiga zumari with zero action.
Kama anazo hizo karata si amalize vita kila siku anamba kusaidiwa.

Bei ya mafuta imepanda baada ya mipango ya duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran kukwama tena.
Brent crude, kiwango cha kimataifa cha bei ya mafuta, kilipanda kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya $109 (£80) kwa pipa
 
Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?
We jamaa mchambuzi uchwara, kwahiyo nchi kama Iran yenye vikwazo kwa miaka karibu 50, iliyozidiwa bajeti za jeshi na uchumi na USA kwa zaidi ya mara 60!! Kuweza kuzuia serikali isipinduliwe na superpower 2 huku zikiwa na backup ya nchi zingine takribani 10, unadhani ni jambo rahisi?

Viongozi 40 ni nothing kwenye taifa la watu 100 Million. Hata Russia na China zilipoteza wanajeshi na raia wengi kuliko Japan na ujerumani ila zilishinda world war 2!!

Vita ni strategy sio numbers
 
Kama anazo hizo karata si amalize vita kila siku anamba kusaidiwa.

Bei ya mafuta imepanda baada ya mipango ya duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran kukwama tena.
Brent crude, kiwango cha kimataifa cha bei ya mafuta, kilipanda kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya $109 (£80) kwa pipa
Who cares Mzee wa UHARO?
 
Mzee wa UHARO hivi PressTv inamilikiwa na Nani?
Mzee wa UHARO unataka media gani?

Bashhaa wako anagopa kufa 😂

Trump Adai ABC Imfukuze Kazi Jimmy Kimmel Kwa Sababu ya Utani wa "Mjane"

Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka ABC kumfuta kazi mtangazaji Jimmy Kimmel usiku wa manane baada ya mchekeshaji huyo kutania kwamba mke wa Trump, Melania, huenda hivi karibuni akawa "mjane."

View: https://x.com/tasnimnews_en/status/2049070682420699620?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Killing leaders ≠ changing the regime.Mfumo wa utawala upo pale pale. Intact kama jana.
 
Back
Top Bottom