Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Who cares Mzee wa UHARO?
MR UHARO.

⚡️🚨 Spokesperson for the Iranian Army:
  • We do not consider the war over; what happened was merely silence on the battlefield.
  • Any enemy movement will be met with a firm response in new fields and with new tools.
  • We continue to update our target bank and benefit from accumulated experiences.
  • We are ready for a long war.
 
Kama anazo hizo karata si amalize vita kila siku anamba kusaidiwa.

Bei ya mafuta imepanda baada ya mipango ya duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran kukwama tena.
Brent crude, kiwango cha kimataifa cha bei ya mafuta, kilipanda kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya $109 (£80) kwa pipa
Macron alieleza wazi kuwa Agenda za America kwenye hii vita hazieleweki, in short, jamaa anawachezea viongozi wote kweli kweli, cheki Watu washaanza jitoa OPEC huko, mambo yanazidi kuwa sio mambo, na moja ya sababu zao ni kukosekana kwa usalama ndani ya jumuhiya kwa siku za hivi karibuni. Ila sijasikia Germany au France akitishia kujitoa NATO.

Trump na Benjamin wanaamini katika kuharibu ndio ujenge, akili kama za hao hao waIran, Taliban, ISIS, Alkaida and so on, sisi nyasi tuwaache waendelee kucheze hii fair game mpaka hapo tamati tuone mambo yatakuwaje. Of course, kuisha hayataisha, huwezi safisha first class ya regime mzima tena ya hao wazee wa visasi utegemee mambo kubaki kuwa business as usual for life, payback is guaranteed, we just don't know when and how it's gonna be implemented. Japo kwa hakika itakuwa ya kuvizia kama lile tukio la Israel.
 
Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
1. Regime ni IRGC na bado ipo madarakani so sio kweli kuna Regime Change.
Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
Hawana uwezo? Hypersonic missiles zimeweza kupenetrate Israel na kuleta damage. Actually interception rate ya Israel imeshuka hadi 70+% kutoka 90% wakati vita inaanza.

Pia wana 400kg za uranium enough to make 13 nuclear warheads. So unaposema sio tishio la nuclear unamaana gani? Kama sio tishio kwanini US ina demand wachukue hizo enriched uranium?
Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa
Hii inaonyesha ulivyo mtupu kwenye economics. Kwanza US inanunua zaidi kuliko inavyonunua hivyo vitu vikipanda bei China au Brazil basi automatically inaleta imported inflation US. Pia kama hujui viwanda vingi vya kampuni za US having US bali Asia hivyo ikitokea inflation huko Vietnam au China basi inaathiri faida za wamarekani na kuua uchumi.

Economic convergence
 
🇪🇺✈️ Uagizaji wa mafuta ya ndege ya EU umefikia kiwango cha chini kabisa huku mgogoro wa Hormuz ukiathiri usafiri wa anga wa Ulaya.

  • Upakiaji wa mafuta kwenda Kaskazini Magharibi mwa Ulaya chini ya mapipa 200,000 kwa siku, karibu na kiwango cha chini cha kihistoria
  • Wasafishaji wa EU tayari wanafanya kazi kwa uwezo kamili lakini hawawezi kujaza pengo hilo
  • Ugavi wa ziada kutoka Afrika na Marekani unaongeza bpd 100,000-150,000, bado bpd 300,000 chini ya mtiririko uliopotea wa Mashariki ya Kati
  • Kiwango cha mafuta kinatarajiwa kubaki juu bila unafuu wa muda mfupi unaoonekana
  • Mashirika ya ndege tayari yanarekebisha: Ryanair flat, Wizz Air na uwezo wa kupunguza TUI, Lufthansa inapunguza zaidi

Chanzo: Morgan Stanley
 
Macron alieleza wazi kuwa Agenda za America kwenye hii vita hazieleweki, in short, jamaa anawachezea viongozi wote kweli kweli, cheki Watu washaanza jitoa OPEC huko, mambo yanazidi kuwa sio mambo, na moja ya sababu zao ni kukosekana kwa usalama ndani ya jumuhiya kwa siku za hivi karibuni. Ila sijasikia Germany au France akitishia kujitoa NATO.

Trump na Benjamin wanaamini katika kuharibu ndio ujenge, akili kama za hao hao waIran, Taliban, ISIS, Alkaida and so on, sisi nyasi tuwaache waendelee kucheze hii fair game mpaka hapo tamati tuone mambo yatakuwaje. Of course, kuisha hayataisha, huwezi safisha first class ya regime mzima tena ya hao wazee wa visasi utegemee mambo kubaki kuwa business as usual for life, payback is guaranteed, we just don't know when and how it's gonna be implemented. Japo kwa hakika itakuwa ya kuvizia kama lile tukio la Israel.
Wewe hata ueleweki unatetea nini😂😂
UAE kajitoa OPEC sababu ya kafirisika kwa kuikumbatia Marekani na Israel Dubai kwisha anataka kuuza mafuta mengi wapate pesa.

Trump nyumbani kanasa hajui atatokaje kwenye hii vita.

Nimekuuliza hujibu kama hizo karata wanazo Trump na Netanyahu si wamalize vita.
 
1. Regime ni IRGC na bado ipo madarakani so sio kweli kuna Regime Change.
Hawana uwezo? Hypersonic missiles zimeweza kupenetrate Israel na kuleta damage. Actually interception rate ya Israel imeshuka hadi 70+% kutoka 90% wakati vita inaanza.

Pia wana 400kg za uranium enough to make 13 nuclear warheads. So unaposema sio tishio la nuclear unamaana gani? Kama sio tishio kwanini US ina demand wachukue hizo enriched uranium?

Hii inaonyesha ulivyo mtupu kwenye economics. Kwanza US inanunua zaidi kuliko inavyonunua hivyo vitu vikipanda bei China au Brazil basi automatically inaleta imported inflation US. Pia kama hujui viwanda vingi vya kampuni za US having US bali Asia hivyo ikitokea inflation huko Vietnam au China basi inaathiri faida za wamarekani na kuua uchumi.

Economic convergence
1. Upo sahihi kusa IRGC ndio regime, change ni process, mpaka sasa wamefanikiwa kwa silimia kubwa sana, kwanza kwa kueliminate first class yote, hii inaonyesha wazi kuwa wana intelijensia ya kuwafikia wowote watakao kaimu madaraka, rejea kusimamisha vita, maana yake walio sasa wanawekwa kwenye pending list, usiniuliwe watawezaje ilhali wameweza tayari tena kwa ufanisi wa hali ya juu.

2. Hizi habari za wanaweza ndio udhaifu wenyewe, ilipaswa kuwa iwe, wametengeneza vichwa 13 vya atomic boms tayari, its a decade or so hawa watu wanahofiwa kutengeneza, mpaka sasa hawajafanikiwa, na bado wana-wish, its just wishes kama projection ya pipeline kwenda China na ugumu wake kutokana na itikadi kinzani na nchi tarajiwa kupitisha hilo bomba.

3. Sera za Trump ndio base ya hoja yangu, mara kadhaa amekuwa tayari hata kuzipandishia tarrifs bidhaa toka china Direct, lengo lake ni "Make America great again" in the long run hawa investors ambao ni westerners watafute means za kuwekeza nyumbani, anafanikiwa kwa kiwango kikubwa ambacho hakijawahi onekana tokea miaka ya 2000, changamoto zipo, anazidi kuharibu mambo mpaka kieleweke.

Soma Zaidi;
Based on data and reporting through early 2026, the Trump administration has seen a mix of success in driving reshoring from China through a combination of coercive tariffs, executive orders, and incentive-based policies. While many U.S. firms have diversified supply chains away from China, the overall shift has been described as messy, with some companies balancing risk by maintaining partial operations in China.
Source: Lowy Institute

Key Successes and Trends (2024–2026)
  • Reshoring Momentum: 2024 saw 244,000 U.S. manufacturing jobs announced through reshoring and foreign direct investment (FDI), and while early 2025 data showed some moderation, the trend of bringing production back remained strong.
  • Significant Import Drop: The value of U.S. imports from China plunged by roughly 30% in 2025 compared to previous peaks, with Chinese goods dropping to less than 10% of total U.S. imports, a level not seen since 2000.
  • Tariffs as a Motivator: Tariffs were cited as a key motivator in 454% more cases in 2025 compared to 2024, showing that the administration's "carrot-and-stick" approach—offering tax credits while threatening to strip government contracts—began to affect business decisions.
  • Sector-Specific Success: High-tech industries (electronics, EV batteries, solar) dominated the reshoring efforts, comprising roughly 90% of new projects in early 2025.
  • European Reconsideration: The combination of U.S. tariffs and high energy costs in Europe encouraged some European companies to reconsider their dependence on China and move investment toward the U.S.
    Source: BBC +6
Challenges and Limitations
  • Counter-Movements: Reports in 2025 indicated that despite these efforts, some European (specifically German) companies actually redirected capital away from the USA and back to China, with German investment in China reaching a high in 2025.
  • Limited Impact on "Decoupling": Despite aggressive policies, many firms have not fully left China, opting instead to diversify, as many U.S. businesses still consider it a critical part of their global strategy.
  • Supply Chain Resilience: While direct imports from China dropped, some of that manufacturing merely shifted to Vietnam and Mexico, often backed by Chinese investments, suggesting the "decoupling" is often a "re-routing".
  • Workforce Constraints: A major impediment to faster reshoring has been a shortage of skilled manufacturing labor in the U.S..
    Source: BBC +4
Outlook 2026
The administration is expected to maintain its "strong denial defense" of limiting Chinese access to U.S. capital and technology while attempting to foster a more favorable environment for friendly, inbound investment.
 
Leta hoja, sio vihoja, Trump anachukiwa na Dunia nzima kwa sela zake, ukisikia US kajitoa WHO wanufaika wake ni wazungu hao hao, Germany ikiwemo. Umoja wa kujihami wa NATO anawalazimisha wawe na equality kwenye michango yao, waathirika ni hao Germany pia, Hormuz kufungiwa wanaokosa uhakika wa meli zao za mafuta kupenya kwa ufanisi na hata kulazimisha Iran kuwa na mipango ya kuweka Tozo hata zao Germany zinakosa uhakika, yaani, kiufupi diplomasia ya Trump ndio mwiba unaochoma mpaka Germany kwa hiyo usishangazwe na hiyo milio.
Wewe kaaa kimya sera unaandika Sela.
Kwani ukikaa kimya kama mimi utachekwa?
 
Wewe hata ueleweki unatetea nini😂😂
UAE kajitoa OPEC sababu ya kafirisika kwa kuikumbatia Marekani na Israel Dubai kwisha anataka kuuza mafuta mengi wapate pesa.

Trump nyumbani kanasa hajui atatokaje kwenye hii vita.

Nimekuuliza hujibu kama hizo karata wanazo Trump na Netanyahu si wamalize vita.
Wamalize vita ya nini na wao ndio wameianzisha? Hao waliochokozwa ndio wanapaswa kumaliza mchezo kwa kumuangamiza adui, tena wala hayupo mbali maana umbali toka Tehran mpaka Tel Aviv ni sawa kabisa na DSM mpaka Lusaka, ni midege tu na maroketi, kwa style hii watamuweza USA FROM WAY TOO FAR kweli?. mbona hiyo ipo wazi.

Kituko cha mwaka, wewe mtanzania choka mbaya mwenzangu unajihakikishia kuwa UAE imefirisika, like seriously, hizo sababu ni zako za mfukoni, binafsi naona moja ya malengo nyuma ya pazia ya Trump ni destabilization ya hizo organizations duniani, rejea uwepo wa wahasimu wake humo ikiwemo IRAN, South Africa and so. Tutasikia mengi kwa siku za usoni, mengi hayatatufurahisha ila ndio hivyo, basi tena.
 
Wewe kaaa kimya sera unaandika Sela.
Kwani ukikaa kimya kama mimi utachekwa?
Narudia tena, leta hoja sio vihoja, hatujifunzi lugha hapa na sio jukwa la kiswahili, mada ipo straight forward. Nyie ndio wale hamzingatii mantiki mnazingatia kasoro ndogo ndogo kama msingi wa hoja, Kiswahili nilifeli bigtime, sio kipimo cha intelligence, kinabaki tu kuwa means of communication kama lugha nyinginezo, hujaelewa mazungumzo uliza, period.
 
Labda kihivyo. Kwamba kijiografia Iran naye anaweza kusukuma kete zake, kulazimisha Jambo lake na likasikilizwa kutokana na eneo alilopo. Kwamba msipofanya atafunga eneo lake
Kijographia na Kwa nguvu aliyo nayo kijeshi pia cause missile zake zilizotumika kuzopopoa base za USA na kupiga Nchi ya Israel kama zinavyotaka ni kitu ambacho kimeleta game changer na kuifanya Iran iogopeke na kuwalazimisha USA waombe ceasefire laiti kama Iran wasingekuwa vizuri in power of military Hilo lisingetokea , kwanini USA wameona Kuna haja ya kukaa mezani na Iran na kutafuta suluhu jibu ni Moja tu ni kwasababu Iran na wao wanauwezo mzuri wa kijeshi ambao unatoa tishio Kwa wapinzani wao hao , isingekuwa hivyo USA na washirika wake wangekuwa wanapiga Hormuz bila ya uoga wowote ule isingekuwa hivyo kambi zilizopo middle east zisinge chakazwa isingelikuwa hivyo balozi zilizopo middle east zisinge chakazwa baada ya USA na Israel kuona kuwa Iran wanaweza kusababisha madhara Kwao mpaka Kwa washirika wao na kutishia anguko lao ndio usa wakaona waombe ceasefire kinyume na hapo isingekuwa hivyo

Do you think USA wameomba tu ceasefire bila ya kuona madhara ya vita na hasara waliyoipata !? Kama itakuwa Unaamini hivyo utakuwa una matatizo upstairs
 
Iran ni super power?!?!?!.
Iran kwa miaka zaidi ya 40 imewekeza nguvu zake kwwnye masuala ya ulinzi na usalama...baasi.
Nyanja nyingine wako vby na ndio maana wananchi kibao wa Iran hawaisapoti serikali yao sema ni vile mbinyo ni mkali ndani ya nchi hawana pa kufurukutia.
Hata sasa hv toka vita vianze ile mwezi february hadi leo hakuna kabisa huduma ya internet...unadhani kwann wananchi wamekatiwa huduma hiyo??
Kama ni kweli wanaisapoti serikali yao pendwa!.
Wananchi Hawa isupport serikali Yao my foot!? 😄😄🤣 Hivi mnatoaga wapi hizi Akili za kuku !?

Kama wangekuwa Hawa support serikali kilicho wafanya wasikubali kuwaunga USA kufanya mapinduzi Kwa serikali Yao iliyopo madarakani ni Nini !?
 
Lengo la USA kwa Iran limetimia,
  • Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
  • Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
  • Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Asante msemaji WA trump
 
China anapitisha wewe ukiwa kama gateman sio? wewe unadhani vilio na lawama zote kwa nn ni kwa Trump inhalai mambo yako vibaya kwake, si wangekuwa wanachekelea na kuongeza nguvu Iran ili Trump afie mbali kabisa.

Tafuta taarifa kwenye sources mbalimbali verified, sio unaegemea kwa wanasiasa, hata huyo Challencor ni politician tu, kile anasema analenga favor ya status ya nchi yake mbele ya misimamo ya EU ambao wanalia maana Trump kawatema kiaina pale Ukrain, NATO kashuka msaada na anatishia kujitoa, huyo Chancelor anacheza na joto la wapiga kura wake na vitu ka hivyo, usiniamini mimi sijaomba hivyo, mi sio messiah mkombozi wa hii vita, ni Trump pekee ndio anazo cards za mchezo, maybe na Benjamin kiasi. Hao wengine wanabaki kuwa victims tu na wapiga zumari with zero action.
Ana cards zipi? Hao Senate wenyewe wamemkatalia kuizinisha dollars zaidi ya bil 200 kwa ajili ya vita ya Iran.Angekuwa na hizo cards si angepata hizo USD bil 200.

Moja ya condition aliyo itoa Iran ni Myahudi kutoishambulia Lebanon na Iran alifungua mlango wa Hormuz baada ya Myahudi kuacha kuipiga Lebanon, Myahudi alipoanza kuipiga Lebanon akafunga tena mlango, sasa hapa mwenye kadi ni nani? Kwa hiyo niache kumuamini Kansela kisa mwanasiasa,kwani Trump unaye muamini wewe ni nani au mwanasayansi?

Halafu unaonekana hata maswala ya diplomasia huyajui, unakaza kichwa. US middle east ushawishi wake unaenda kupungua, hamna taifa litakubali tena ,US kujenga tena base zilizo lipuliwa,Qatar ameshaliongea hilo, Saudi, Bahrain, Jordan, UAE,Dubai wanafikiria kurestructure upya uhusiano wao na US.

EU na NATO wamekataa kumunga US kwenye hii vita, UK akaandaa mkutano wa mawaziri zaidi ya 40 kudiscuss jinsi ya kuufungua mlango wa Hormuz kidiplomasia, huku wakipingana na wazo la Trump kutumia nguvu kufungua Hormuz. Canada mshirika wa kariba wa US ,alikataa live kumuunga mkono US. Italy na Spain walimpiga marufuku US kutumia anga na millitary resources zao kuishambulia Iran,Spain alienda mbali wakaifukuza ndege ya kijeshi ya mizigo ya US iliyotua kwenye uwanja wake.Mpaka hapo unaona ushawishi wa US umepungua na kitendo cha ushawishi kupungua kunatokana na kufanya vibaya upande wa kidiplomasia matokeo yake hata dollars itaanza kupoteza ile nguvu yake sababu imejengwa kupitia ushawishi na ili uwe na ushawishi mkubwa basi kidiplomasia lazima uwe vizuri. Trump mwenyewe diplomasia ana zero kabisa kamtukana Macron, kawaponda NATO na kamtukana Mfalme wa Saudi nk.

Wewe kama unaangalia vita upade wa silaha Pekee yake basi hata dunia hujui inavyo enda, ila hii vita US amepoteza pakubwa sana na bado kila siku anazidi kupoteza.

Haya hiyo jana ,Canada anaanza kujitenga pole pole na US anataka kupunguza utegemezi, Qatar kishaanza na wenzake wengine middle east watafuatia bado NATO na EU.
Screenshot_20260428_205953_TikTok.jpg

Kwenye hii vita kwa maana ya physically na kidiplomasia Iran amefanikiwa kuliko US na kwenye uwanja wa kivita kamuexpose US vibaya, sasa washajua weakness zake kwenye uwanja wa kivita kwa maana ya silaha zake, jinsi ya kucheza na mifumo yake ya kiulinzi ya anga pamoja na ndege zakeza F-35,F-16,Refuelling Aircraft Tankers na ndege radar zake zinazo tembea angani.

Haya lengine hili.
Screenshot_20260429_121342_Instagram.jpg
 
Usikimbie hoja, usomi na yanayoendelea middle east wapi na wapi, kama kwata limekushinda usinyee kambi, just step aside and move on. Safu ya uongozi wa Iran imekuwa terminated and it's just a matter of time to be replaced, yanayoendelea saizi ni maigizo ya vibaraka wa regime husika kukaza shingo, meanwhile hakuna wanachoweza kufanya in a long run. Time will tell kama kwa Assad wa Syria aliyeko ughaibun Russia akila bata kwenye corridor za Ikulu ya Putin.
Wakiristo wa jf wanachekesha sana kihoja
 
Wamalize vita ya nini na wao ndio wameianzisha? Hao waliochokozwa ndio wanapaswa kumaliza mchezo kwa kumuangamiza adui, tena wala hayupo mbali maana umbali toka Tehran mpaka Tel Aviv ni sawa kabisa na DSM mpaka Lusaka, ni midege tu na maroketi, kwa style hii watamuweza USA FROM WAY TOO FAR kweli?. mbona hiyo ipo wazi.

Kituko cha mwaka, wewe mtanzania choka mbaya mwenzangu unajihakikishia kuwa UAE imefirisika, like seriously, hizo sababu ni zako za mfukoni, binafsi naona moja ya malengo nyuma ya pazia ya Trump ni destabilization ya hizo organizations duniani, rejea uwepo wa wahasimu wake humo ikiwemo IRAN, South Africa and so. Tutasikia mengi kwa siku za usoni, mengi hayatatufurahisha ila ndio hivyo, basi tena.
Hahhaha sasa wewe punguani kweli upo Uyole unalazimisha kuwa Marekani kafanya rigime change Iran😂😂
 
🇮🇷🇺🇸 Iran imeipa UN guruneti halali kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz

Msimamo mpya wa Tehran:

Hatujawahi kusaini UNCLOS, kwa hivyo hatujafungwa nayo. Hakuna majukumu ya mkataba. Hakuna sheria za kimataifa za baharini.

Kuna usumbufu wowote kwa meli za kimataifa? Tumlaumu Washington kwa kuichochea. Sio sisi.

UNCLOS inawakilisha Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Sheria ya Bahari


View: https://x.com/marionawfal/status/2049161448040112161?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom