Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

🇺🇸🇮🇷 Akiba ya silaha za Marekani imepungua sana, kuendelea na vita kunaweza kuwa vigumu kimwili.

Luteni Kanali Mstaafu Daniel Davis anaeleza kinachotokea Trump anapoishiwa na chaguzi.

"Hakuna sababu ya busara ya kufikiria kwamba siku 40 za kwanza za mabomu, ambapo ulikuwa na vitu vingi na hukuwalazimisha kusalimu amri, kwamba kipindi kidogo cha muda kitakuwa na athari ambayo ya kwanza haikuwa nayo."

Wakati silaha zinapoisha, kadi pekee zilizobaki ni kujisalimisha au kuongezeka kwa nyuklia.

@DanielLDavis1
 
🇺🇸🇮🇷 Trump anakuwa "Jimmy Carter" yuleyule ambaye alikuwa akimdhihaki kila mara - Newsweek

Trump yuko karibu kuwa "Jimmy Carter" wa pili; rais asiyejiweza dhidi ya Iran na aliyepooza chini ya mzigo wa mgogoro wa mafuta.

Carter alipoteza muhula wake wa pili wa urais kutokana na mgogoro wa mateka na kutoweza kwake kuidhibiti Iran.

Sasa, Trump amenaswa katika mtego huo huo; tofauti ni kwamba badala ya mateka 52, "Mlango wa Hormuz na mtiririko wa nishati duniani" vinashikiliwa mateka na Iran, na licha ya mabilioni ya dola katika matumizi, hawezi kubadilisha hali hiyo.

Enzi ya Carter ilijulikana kwa mgogoro wa nishati na mfumuko mkubwa wa bei. Sasa, Wamarekani wanapitia hisia sawa ya "kuanguka kwa ustawi" wa enzi ya Carter huku petroli ya dola 6 na usumbufu katika mnyororo wa usambazaji.

Huku Carter akifedheheshwa na kushindwa kwa "Operesheni Eagle Claw," Trump anakabiliwa na "mabilioni ya dola katika uharibifu wa besi za kijeshi." Marais wote wawili walikabiliwa na ukweli kwamba "mashine ya vita ya Amerika" haina ufanisi dhidi ya mikakati isiyo na ulinganifu ya Iran.
 
🇮🇷🇺🇸 Iran imehamisha makombora 15 ya Marekani ambayo hayajalipuka kwa "vitengo vya kiufundi na utafiti" kwa ajili ya uhandisi wa kinyume, kulingana na vyombo vya habari vya Iran

Hii inajumuisha ndege ya kivita ya GBU-57 iliyoharibika kabisa ambayo ilishindwa kulipuka wakati wa mashambulizi kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran.


View: https://x.com/megatron_ron/status/2049179884291768807?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🚨 BREAKING:

🇦🇪🇨🇳 Saudi Arabia na UAE wanataka kuuza mafuta kwa kutumia Yuan ya Kichina badala ya dola ya Marekani

Watu wa ndani wanasema wameacha OPEC (Shirika la Nchi Zinazosafirisha Mafuta Nje) kufanya hivi

Hii ina maana kwamba Marekani itapoteza matrilioni ya dola katika miamala ya mafuta

Jambo baya sana linatokea...

View: https://x.com/defitracer/status/2049175335443272191?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Lengo la USA kwa Iran limetimia,
  • Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
  • Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
  • Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwÄ™ na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Mchambuzi uchwara kutoka Manzese Dar Es Salaam Tanzania
 
Iran ni super power?!?!?!.
Iran kwa miaka zaidi ya 40 imewekeza nguvu zake kwwnye masuala ya ulinzi na usalama...baasi.
Nyanja nyingine wako vby na ndio maana wananchi kibao wa Iran hawaisapoti serikali yao sema ni vile mbinyo ni mkali ndani ya nchi hawana pa kufurukutia.
Hata sasa hv toka vita vianze ile mwezi february hadi leo hakuna kabisa huduma ya internet...unadhani kwann wananch i wamekatiwa huduma hiyo??
Kama ni kweli wanaisapoti serikali yao pendwa!.
Afu we jamaa acha mahaba niue kutoka BBC na DW. Iran unaweza kuifananisha na nchi gani huko Afrika kijeshi, Miundombinu,fizikia, Kemia, historia, Biolojia nk?
 
Regime change kwa lugha yetu kwa Tafsiri ambayo sio rasmi ni kubadilisha mfumo wa kiutawala uliopo madarakani. We niambie nani hawezi fikiwa hapo Iran mpaka sasa, kama seniors wote uliowajua wewe hawapo, usilete stori za wanatoa Ayatollah wanaweka Ayatollah, hata raisi aliyepo ni matokeo ya élimination ya mtangulizi wake kwenye ajali ya ndege.

Imefanikiwaje sasa, jibu lake hakika sio kwa asilimia mia, hii ni process, ila mpaka sasa kwa mtazamo wangu wameweza kwa asilimia zaidi ya tisini, kwanza kwa kuwaondoa waasisi wajuu wote, (Mfano: ingekuwa ni ACT wazalendo umemuondoa ZZK na machawa wake wote first class - mizizi mikuu). Japo of-course Iran sio kama Tanzania Kijeshi, kiuchumi n.k. Iła wametia aibu kwenye kutetea usalama wa viongozi wao.

Tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni uwepo wa upinzani mkubwa kwa seriali ya D. Trump, tena dunia nzima hasa kutoka marekani kwenyewe, hii inafanya tathimini nyingi kuwa bias ila ukweli kwenye hili la Iran upo huko Tehran kwa wenyewe huko kwao ndani, suala la umeme tu wanahamasishana kuwasha taa mbili kila nyumba, tena anaongea raisi mwenyewe. Hutopata ukweli wa mambo kutoka kwenye comments za viongozi wa China kuhusu hii vita au media kama Reuters ambazo ndio muhimili wa taarifa za kina Ritz , hali ni mbaya Iran, na mwisho wake hauna manufaa kwa chembechembe za regime iliyokuwepo ambayo kwa sasa ni kama a dying horse tu. Kumbuka wanaomkosa kosa Trump ni waamerika wenyewe, ila Iran wanauawa viungozi tokea nje direct.

Narudia kusema, Iran haipo tena kama ilivyokuwa, sio tishio tena kwa kiwango hicho, Imagine juzi tu walikuwa tayari kuwatoa kafara raia wao kwa kuwaweka ngao kwenye miundombinu, hapa walikuwa wakilenga huruma ya dunia endapo mmarekani angetekeleza azma yake, maana wanajua anaweza jipigia atakavyo.
Jibu fupi regime change haijafanikiwa.. amekuja kiongozi mwenye mtazamo, malengo na kila kitu kinachofanana na aliyepita kwa 99.9% unasemaje imefanikiwa? 😂🤣
 
Bora mie uwezo wangu ni mdogo, we mwenzangu ndio hamnazo kabisa, yaani nchi anakufa muasisi wake let say Nyerere tena kwa mashambulizi toka nje jirani tu, safu yote ya ulinzi na usalama unafutwa, mawaziri, hata huyo anayeaminika kuwa ndio mrithi wake inasemekana yupo ICU, hata hao waliachwa hai kama negotiators ikiwemo Speaker na waziri wa mambo ya nje ni kwa maelekezo maalumu toka US kwenda Israel, hata huyo raisi wa sasa ni wa juzi tu baada ya aliyekuwepo kulipuliwa kwenye ndege yake, alafu mnaitwa kwenye meza ya mazungumzo? kuzungumza nini sasa na adui aliyeanza uharibifu wa kiwango hiki?

Binafsi, nilitarajia Israel pawe hapakaliki kwa mashambulizi yasiokwisha kutoka kwa superpower wa Middle East kama regime ingekuwa ndio ile ile. Tena bado wamewekewa military blockade hapo hapo jirani we maamuma unakuja kuongea upuuzi gani hapa! hata Trump anasema huwa hawaelewi waongee na nani, Kuondoka kwa ile safu nzima ndio mwanzo mzuri wa anguko lenyewe, ni kahatua tu and time is there to tell the tale, na ifahamike tu kuwa USA hayupo kwenye full range war na Iran so-far.

Bahati nzuri USA anapigana vita kwa staha, japo vita ni vita mura!!! haina macho, ila ingekuwa kama US ndio reckless kama IRAN wenyewe wanaorusha mafataki Dubai, Qatar na kila upande wa dunia bila kulenga target za maasimu wake direct ungekuta Tehran ni majivu. Focus ya huyo superpower ingekuwa base za jeshi Israel pale direct, mwenzako anakugonga nyumbani kwako, anaua wazazi wote, wazee wa ukoo, wewe unarusha mikuki kwa mahawara zake kisa kwake ulinzi mkali bado unakuja kutamba ujinga, idiots. Hata Talibans wanaringa licha ya kuachiwa nchi iliyovunjika vunjika kama uhuru fake wa Africa isiyoweza ungana tena licha ya vibaraka weusi kwa weusi kujichukulia madaraka, imebaki kuwa kama malaya tu ambae Russia akitaka kujipigia anajipigia tu, China nae akıtaka anajipigia tu, sio ufaransa ujerumani yaani wote wanajipigia tu. Kama Syrian tu ya Assad na Iran ile ya kina Ayatollah ndio basi tena hivyo.

Wazee Waliosema Israel wataifuta kwenye sura ya dunia wote wamefutika, now you can see who has the cards inhand.
Sasa mkuu kama Irani ipo kama unavyo sema ww,why USA analia lia??,why analalamika washirika wake hawampi support.
 
Lengo la USA kwa Iran limetimia,
  • Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
  • Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
  • Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwÄ™ na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Akili yako na Mavi tofauti ni joto,marekani angefanikiwa angelilia Dunia kuomba msaada?
Cha kukusaidia acha kula nguruwe ili minyoo isiendelee kuharibu ubongo uliobakia
 
Nchi zaidi 'zina uwezekano mkubwa' wa kuondoka OPEC baada ya kujiondoa UAE: mwanadiplomasia wa zamani
--
Nchi zaidi 'zina uwezekano mkubwa' wa kuondoka OPEC kichwa cha UAE wa kujiondoa, mwanadiplomasia wa zamani wa UAE Obaid Ahmed Al-Zaabi alisema katika hotuba kwa RT.

UAE ilitangaza kuwa itaondoka OPEC na OPEC+ kuanzia tarehe 1 Mei, hatua ambayo Zaabi aliielezea kama "muda mrefu ujao," akitaja kile alichosema ni vikwazo vya maneno yasiyo sawa kwa nchi kutuma na nchi zingine.

Alisema kwamba UAE haitegemei sana hidrokaboni na ina faida mpana wa kimataifa, huku akielezea kama kikwazo cha OP kinachoweka gharama kubwa kwa taifa la Ghuba.

Zaabi pia alielekeza kwenye "ukweli mwingine wa kijiografia" nyuma ya huo, akirejelea migomo ya kulipiza kisasi iliyolenga mataifa ya Ghuba wakati wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, na kuhoji uratibu wa sera ya mafuta chini ya hali kama hizo.

Aliongeza kuondoka zaidi kufuata kufuata, akisema kwamba kadri wanachama wengine wanavyoondoka au kupuuza mipaka ya matumizi, motisha kwa nchi kama Kuwait kupunguzwa kwa zitadhoofika.
 
Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?

Iran kaonyesha uwezo mzuri na mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.

Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.

Iran anazuiwa kuwa superpower
Unajuwa idadi halisi ya wanajeshi wa US waliouliwa na kujeruhiwa zaidi ya 400
Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?

Iran kaonyesha uwezo mzuri na mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.

Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.

Iran anazuiwa kuwa superpower
Nilifikiri ungekuja na malengo ya US hapa kwa Iran halafu ukaeleza walifanikiwa lipi ukitoa hilo la kuuwa kiongozi, US walitaka regime change, oil, Kharg Island, Walitaka madini yaliyoyeyushwa, wakasema wanataka Iran isimimiliki silaha za nuclear, baadae ikaja Strait of Hormuz, hemu eleza kwa herufi kubwa kabisa ni lipi walifanikiwa ndo maana kiongozi wa Ujerumani akasema US imedhalilika kwa Iran
 
Wewe kwa uelewa wako Superpower anaweza kumuwekea vikwazo?

Iran anaweza kuwa na nguvu kwa kiwango Fulani lakini kusema ni Superpower ni uongo

Ila kwa pale Mashariki ya Kati nakubaliana na wewe anau- min superpower
Iran ni giant ni superpower tayari, sema alikuwa amejificha lakini kupitia vita hii ndio dunia imeelewa uwezo wa Iran, US na mshirika wake Israel wali-underestmate Iran ukweli umejulikana ndio mana kiongozi wa Ujerumani amekiri Iran is superpower already, Urusi anachukua silaha hoyo kutoka Iran (drons) ambazo wao Iran ndio waanzilishi na ndio silaha pekee duniani saivi inayokwenda na wakati, ndio silaha inayoendana na vita ya sasa, na utashangaa Iran anaitengeneza very cheap, urusi amechukua silaha hizo kwa vita ya Ukraine na ndio mana nchi za Gulf wametaka ulinzi wao sasa utoke Ukraine kwa sababu wao baada ya kuchapwa sana na hizo drone za Iran angalau wameweza kuzidungua kwa uchache mbona hawakurudi huko US?
 
Back
Top Bottom