Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Cassie kaondoka kalipwa kiasi gani na PDiddy.Waafrika wengi hawajifunzi. Mwenzao kule States kalia juzi
Bill Gates, Elon Musk, Jeff Bezos wamelipa kiasi gani kwenye talaka zao.
Au hao athletes weusi walioowa weusi wenzao unataka kusema ndoa zao zote poa. Michael Jordan kamlipa kiasi gani mkewe. Carmelo Anthony anampa Lala kiasi gani kwenye upkeep ya mtoto.
Unadhani hao watu awajui kama wanawindwa na gold diggers wa race zote na hawajui kujilinda.
Shit happens in life akili kukichwa, acheni kujifanya mnajua sana kulinda assets za watu kushinda wao wenyewe ambao wana case studies za wenzao.