joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Jibu simple la hilo ulilolitoa kwenye line ya kwanza,kuwapa vimada life la gharama huwezi fananisha na gharama za talaka. Ndio maana hawana mpango wa kuoa japo hawatosema mbele ya umma,ndio maana wapo tayari kutoka na vimada na kuspend na ila si kuoa.Ushaona hao vimada wao wanavyoishi high life.
Tuachane na maamuzi ya hela za wanaume wengine. Pambana usiwapangie watu furaha zao na maamuzi yao.
Yawe maamuzi mazuri au mabaya hata wao wana case studies kabla ya kuamua wengi wanajua consequences zao.
Unajuwa baba yake Kobe Bryant ni maskini leo pamoja na utajiri wote alioacha. Sasa sio bahati mbaya Kobe mwenyewe hakutaka apate kitu. Na alichaguq mke dhidi yake.
Kila mtu na maamuzi yake kwenye hii dunia ndugu, mradi hela kaitafuta yeye.
Simpangii mtu life dunia ni yake na hela ni zake, ila haimzuii mtu kuongea kila kinacho onekana. Mabilionea wengi na watu wenye hela,wengi wao baada ya kuachana na wanawake zao za ndoa,hawana mpango tena wa kuingia kwenye ndoa.Life yao kwa sasa ni kuspend na vimada,sababu hela ya kula bata ni kama pocket money kwao huwezi linganisha na mgawanyo atakao utoa kwenye talaka.