Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Cassie kaondoka kalipwa kiasi gani na PDiddy.Waafrika wengi hawajifunzi. Mwenzao kule States kalia juzi
Celine Dion aliona mbali sana "The power of love"Hamjui anapewa nini
Unaheshimika sana tu humu JF, kwanini umejaa upepo kiasi hiki?Cassie kaondoka kalipwa kiasi gani na PDiddy.
Bill Gates, Elon Musk, Jeff Bezos wamelipa kiasi gani kwenye talaka zao.
Au hao athletes weusi walioowa weusi wenzao unataka kusema ndoa zao zote poa. Michael Jordan kamlipa kiasi gani mkewe. Carmelo Anthony anampa Lala kiasi gani kwenye upkeep ya mtoto.
Unadhani hao watu awajui kama wanawindwa na gold diggers wa race zote na hawajui kujilinda.
Shit happens in life akili kukichwa, acheni kujifanya mnajua sana kulinda assets za watu kushinda wao wenyewe ambao wana case studies za wenzao.
Husha jiuliza Why Bill Gates, Jordan, Jeff Benzos, Elon Mask kwa nini hawana mpango wa kuoa tena?Cassie kaondoka kalipwa kiasi gani na PDiddy.
Bill Gates, Elon Musk, Jeff Bezos wamelipa kiasi gani kwenye talaka zao.
Au hao athletes weusi walioowa weusi wenzao unataka kusema ndoa zao zote poa. Michael Jordan kamlipa kiasi gani mkewe. Carmelo Anthony anampa Lala kiasi gani kwenye upkeep ya mtoto.
Unadhani hao watu awajui kama wanawindwa na gold diggers wa race zote na hawajui kujilinda.
Shit happens in life akili kukichwa, acheni kujifanya mnajua sana kulinda assets za watu kushinda wao wenyewe ambao wana case studies za wenzao.
Sometimes inabidi tuambizane ukweli.Unaheshimika sana tu humu JF, kwanini umejaa upepo kiasi hiki?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Huyu naye bwege kweli kweli....sasa ndio nini hiki anafanya kulea bao la mwanaume mwenzie. Jamaa nilikuwa namkubali kumbe ndezi namna hiiView attachment 3089817
KANTE AMTAFUTE HAKIMI. EMMANUEL EBOUE AWE CASE STUDY.
Ngolo Kante, nyota wa zamani wa Chelsea na mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa amemuoa mwana mama raia wa Uingereza anayeitwa Jude Littler (pichani). Jude ni mfabiashara na mtangazaji wa television ya ITV Wales and S4C.
Jude Littler alikuwa ni mke wa zamani wa Djibrin Cisse, mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa. Cisse na Littler alioana mwaka 2005, ilipofika mwaka 2012; Cisse na Littler walitalakiana na Littler alichukua sehemu kubwa ya utajiri wake.
Miaka miwili baadae 2014, Ngolo Kante alikutana na Jude Littler kwenye klabu ya usiku na walioana miezi michache baadae. Jude Littler ana umri wa miaka 48 huku Ngolo Kante akiwa na umri wa miaka 33, Jude anamzidi umri kwa miaka 15.
Cha kufurahisha zaidi ni kwamba wakati Kante anamuoa Jude alimkuta na watoto 3 kwa mumewe wa zamani Djibrin Cisse ambaye Ngolo Kante sasa anawalea kama watoto wake. Kante na mke wake Jude hawana mtoto wa kumzaa.
*****
Huu ni mtego wa kiungo wa boli, Ngolo Kante. Huu mtego aliusanukia Hakimi ila ulimnasa Emmanuel Eboue na akaachwa bila kitu. Mwamba anakaba sana uwanjani ila huku amekabwa aiseee! 😂
Source @mdemupolycarp X
Ushaona hao vimada wao wanavyoishi high life.Husha jiuliza Why Bill Gates, Jordan, Jeff Benzos, Elon Mask kwa nini hawana mpango wa kuoa tena?
Angeenda hata kwenye nchi yake ya asili kuoa kigoli awe anaichakata km mwenzie sadio mane.Una hela unaoaje mwanamke skrepa?!! Chagua mrembo mzuri katulia kitu low mileage weka ndani udinyee
Bwana wee sasa limama lilishagegedwa wee na kuzalishwa yeye kaona mali. Aise kama mama yake yupo hai na alikubaliana na hili jambo basi mama yake naye falaAngeenda hata kwenye nchi yake ya asili kuoa kigoli awe anaichakata km mwenzie sadio mane.
Inawezakana ndoa yao ina mkataba wa kila mtu kuchuma na kumiliki chake. Tusikariri kuwa ni kila ndoa wakiachana basi watagawana mali.Wazungu bhana wanaangalia fursa tu kwa watu weusi katika mazingira yeyote..
Hahaa sio mbaya kua foster father mie mwenye foster father wa mtoto M1Bwana wee sasa limama lilishagegedwa wee na kuzalishwa yeye kaona mali. Aise kama mama yake yupo hai na alikubaliana na hili jambo basi mama yake naye fala
🤣🤣🤣🤣🤣 Unalea bao la mwanaume mwenzio 🤣🤣🤣🤣Hahaa sio mbaya kua foster father mie mwenye foster father wa mtoto M1
Tena ni kilaza wa kiwango cha juu sana. Utaoaje mwanamke mwenye watoto watatu? ........achilia mbali umri wake na kuolewa kwake!Mwanetu ujuaji mwingi uwanjani kumbe kwenye mahusiano kilaza tu. 🙆
Uchawi wa kizungu upo nimeamini kwa kweliTena ni kilaza wa kiwango cha juu sana. Utaoaje mwanamke mwenye watoto watatu? ........achilia mbali umri wake na kuolewa kwake!
Yani niwe star alafu niowe kibibi kizee! mhh! hapo Ng'olo kaleta upuuzi.
Kwamba tuseme anapewa mavi ama?
They have no problem kawaida tu. Sie waislam ukimstir mtu hvyo unapata neema kwa mwenyez kuliko angekua chapa ilale. Foster father na mtt mmoja nimezaa na wife wala hakuna shida na mambo yanaenda vzuri.... Unaweza pata mtu normal na kichaa vile vile🤣🤣🤣🤣🤣 Unalea bao la mwanaume mwenzio 🤣🤣🤣🤣
Mweeee aisee e u wacha huo ujinga wanawake wote waliojaaa hapa duniani wee ukaenda kuchukua single maza kweli!? Na wazazi wako walisemaje?