Mwai Kibaki aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Moi.1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002.
2. Baadae 2007 majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama chake (TNA) na Rutto (URP) pia. Hadi Leo watu wale wale kupitia majina mapya ya Vyama (Kenya Kwanza) kutoka KANU wanapokezana uongozi wa Kenya pamoja na kuwa na inayoitwa katiba Mpya.
NB: KANU, DP, NARC, PNU, TNA, URP, Kenya Kwanza
Kwa Kenya hiyo inayoitwa Katiba Mpya Ni kitabu kilichojazwa makaratasi kwenye Jamii iliyojaa ukabila na Rushwa (Tabia Yao ya asili).Unataka kusemaje?
Katiba mpya haina maana ama vipi, funguka.
Bado, hivyo bongo haina haja ya katiba mpya sio?Kwa Kenya hiyo inayoitwa Katiba Mpya Ni kitabu kilichojazwa makaratasi kwenye Jamii iliyojaa ukabila na Rushwa (Tabia Yao ya asili).
Hoja za wabongo kutaka katiba Mpya zimewekwa wazi?Bado, hivyo bongo haina haja ya katiba mpya sio?
Kwa mujibu wa mfano wako kenya, ndio nimekuuliza, sababu haujamilza ujumbe wako umeacha nafasi iliyo wazi. Funguka mkuuHoja za wabongo kutaka katiba Mpya zimewekwa wazi?
PointKenya watu wanachagua mtu na kabila sio chama