"KANU" bado inatawala Kenya

"KANU" bado inatawala Kenya

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi.

2. Baadae 2007 Uhuru akawa Naibu Waziri Mkuu na majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama chake (TNA) na Rutto (URP) pia. Hadi Leo watu wale wale kupitia majina mapya ya Vyama (Kenya Kwanza) kutoka KANU wanapokezana uongozi wa Kenya pamoja na kuwa na inayoitwa katiba Mpya.

NB: mabadiliko ya majina ya majina ya Vyama yasikuchanganye (KANU, DP, NARC, PNU, TNA, URP, Kenya Kwanza) familia Ni zile zile zinapokezana tu
 
1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002.

2. Baadae 2007 majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama chake (TNA) na Rutto (URP) pia. Hadi Leo watu wale wale kupitia majina mapya ya Vyama (Kenya Kwanza) kutoka KANU wanapokezana uongozi wa Kenya pamoja na kuwa na inayoitwa katiba Mpya.

NB: KANU, DP, NARC, PNU, TNA, URP, Kenya Kwanza
Mwai Kibaki aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa Moi.
 
Kwa Kenya hiyo inayoitwa Katiba Mpya Ni kitabu kilichojazwa makaratasi kwenye Jamii iliyojaa ukabila na Rushwa (Tabia Yao ya asili).
Bado, hivyo bongo haina haja ya katiba mpya sio?
 
Back
Top Bottom