SI KWELI Kanu ni Mnyama anayenukia harufu ya ubwabwa porini/vichakani

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Safi sana ndio dawa yao wanao rejesha nyuma maendeleo ya watanganyika. Bado binadamu tu.
All the best
 
Duh..!! Habari ya harufu ya ubwabwa kwamba ni chatu, leo hii rasmi umeifuta kichwani kwangu.
 
Duh..!! Habari ya harufu ya ubwabwa kwamba ni chatu, leo hii rasmi umeifuta kichwani kwangu.
Pole sana.
Chatu yeye huachama mdomo na kutoa hewa (kuhema kwa mdomo kwa nguvu)ule mvuke ukitoka kama kuna upepo mbwa alioko karibu akisikia ile harufu humvutia atafuatilia hadi anajipeleka kwa chatu wenyewe .
Suala la kutoa harufu ya ubwabwa ni uongo cuta hayo mawazo kabisa
 
Safi sana ndio dawa yao wanao rejesha nyuma maendeleo ya watanganyika. Bado binadamu tu.
All the best
Binadamu mi natega ule wa kuvunja mguu kabisa afunga kwenye mzizi wa mti kwa cheni napiga kufuli nafunika na mataka taka akijipendekeza unamkuta na hogo wiki moja 2
 
Sasa ndio ale kuku wangu?
Mkuu hujaelimika, lkn pia wewe sio mstaarabu hata tone na huna akili. Ina maana hujui kwamba unafanya makosa?? Kwanini unamtoa uhai na unapost upuuzi wako. Endapo unasumbuliwa na Mnyama wa aina hiyo ulipaswa kutoa taarifa kwa TAWA mamlaka ya Wanyapori wao wangemwekea mtego na kumpeleka mahala sahihi akahifadhiwe lkn kwa Umbumbu wako umemuua mnyama huyo halafu unaposti ujinga wako. Mpumbavu sana umenikera sana mkuu, ID zetu Zingekuwa zinautambulisho ungefuatwa na mkono wa sheria pimbi wewe.
No thanks kwa video hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…