Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Gazeti grade one kwa habari za mastaa, Ijumaa Wikienda linaweza kueleza kinagaubaga, jinsi Kanumba alivyochanganyikiwa kutokana na jinsi penzi la Wema The History ambalo limemfanya achafuke licha ya heshima kubwa aliyonayo kwenye jamii.
Rekodi zinaonesha kuwa mpaka sasa Wema amekwishamgombanisha Kanumba na marafiki zake wanne, kitu ambacho kimemfanya amchukie.
Hata hivyo, gazeti hili linaweza kuweka wazi kuwa baada ya kubaini kuwa Wema anamjengea maadui, hivi sasa Kanumba hamtaki tena na anajuta kumfahamu.
Mpya zaidi inawekwa kweupe kwamba Jumatano iliyopita, Kanumba nusura atwangane na brazameni wa Bendi ya African Stars Twanga Pepeta International, Charles Gabriel Mbwana Chalz Baba kwa kile kilichotafsiriwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Habari zinasema kuwa siku hiyo, Twanga ilikuwa inafanya shoo yake kwenye klabu yenye jina kubwa nchini, Bilicanas ambapo Wema alifika mapema kuona shoo pasipo kumtaarifu Kanumba.
Ilielezwa na chanzo chetu makini kuwa Kanumba pasipo kujua kwamba Wema yupo Bils, aliwasili kiwanjani hapo kwa ajili ya kusugua kisigino na wanatwanga.
Tulikuwa na Wema, yeye hakujua kwamba Kanumba angekwenda pale, sisi tulienda kwa kujiiba, alisema mtoa habari wetu ambaye ni mtu aliye vere kloz na mastaa hao.
Aliendelea kusema: Kanumba alikuwa amekwishasikia habari kuwa Wema na Chalz wanatoka, kwahiyo akawa kimya, sasa siku hiyo alipofika Bils akawakuta pamoja ndipo vagi lilipoanza.
Chalz akataka kumtoa wasiwasi Kanumba kuwa hakuna kinachoendelea kati yao, kitu ambacho kilizidi kumuudhi Kanumba ambaye alikaribia kumkunja Chalz lakini ugomvi ukaamuliwa kabla mambo hayajaharibika.
Chanzo chetu kilisema kuwa hapo kabla Chalz na Kanumba walikuwa marafiki ambapo mwanamuziki huyo alipenda kumuimba msanii huyo kila mara alipohudhuria kwenye maonesho yao.
Aidha, gazeti hili ni shuhuda wa baadhi ya maonesho ya Twaga ambapo mara kwa mara Chalz alimuimba Kanumba ambaye naye alijikokota jukwaani na kumtuza.
Katika kupata kauli zao, Kanumba na Chalz walikuwa wagumu kupokea simu, wakati Wema yake ilikuwa imezimwa muda wote.
Aidha, Ijumaa Wikienda liliwaandikia ujumbe mfupi wa maneno (SMS) na ukafika kwenye simu zao ambapo baada ya kusoma, Kanumba aligutuka na kumsaka mwandishi wetu.
Akiongea na gazeti hili, Kanumba alikiri kukutana na Wema na Chalz kwenye shoo ya Twanga, Club Bilicanas lakini hautokea ugomvi.
Kanumba alisema kuwa ni kweli Wema alimfuata na kumsalimia lakini watu wamechukulia tofauti kuwa alimkoromea mrembo huyo na kutaka kugombana na Chalz.
Mbali na Chalz, habari nyingine zinasema kuwa mapema wiki iliyopita, Kanumba alimvaa Mkurugenzi wa Hartmann Production, Hartmann Mbilinyi na kumhoji kisa cha yeye kutembea na Wema, wakati anatambua alikuwa mai wai wake.
Habari zinasema kuwa Jumanne iliyopita, Sinza Mori, Dar, Kanumba alimbananisha Hartmann kwa dakika kadhaa, akimtaka ampe maelezo ya kina.
Ilielezwa na chanzo chetu kuwa Kanumba a.k.a The Greatest alimtuhumu Hartmann kwamba si mwaminifu ndiyo maana akitambua fika wao ni marafiki lakini ameweza kula urojo na shemeji yake.
Chanzo chetu kilieleza kuwa Kanumba alimuuliza Hartmann kama atajisikiaje siku akisikia yeye (The Greatest) ametoka na Aunt Ezekiel ambaye ni nyumba ndogo zilipendwa ya mkurugenzi huyo wa Hartmann Production.
Kanumba alimwambia Hartmann kuwa maumivu atakayoyapata ndiyo aliyonayo kwa sasa, kilisema chanzo chetu na kuongeza:
Baadaye Hartmann alimuomba msamaha Kanumba na yakaisha huku wakiambiana ibaki kuwa siri.
Kanumba hakupatikana kuzungumzia ishu hiyo lakini Hartmann alipoulizwa alibabaika kutoa jibu.
Aah, yaani na hii mnataka kuandika? Ninyi mmejuaje, kawaambia Kanumba nini, basi kamuulizeni yeye mwenyewe, alisema Hartmann.
Mbali na hao, huko nyuma Kanumba amewahi kugombana na rafiki yake wa karibu, mshirika mwenzake wa zamani katika Kundi la Kaole Sanaa, Mohamed Mwikongi Frank, chanzo pia kikiwa ni penzi la Wema.
Ijumaa Wikienda, lilipozungumza Frank mwaka 2007 alikiri kukosana na Kanumba kwa sababu ya Wema.
Mtu mwingine aliyegombana na Kanumba kwa sababu ya penzi la Wema ni mjasiriamali Jumbe Yusuf Jumbe ambaye yeye alimbeba mrembo huyo jumla na kuishi naye.
Katika sakata lao, Jumbe na Kanumba walifikia hatua ya kugombana ambapo gari la msanii huyo lilivunjwa vioo.
Kanumba akiongea kwa jumla, alisema kuwa hivi sasa hana habari na Wema, akaongeza kwamba mwanamke huyo atabaki historia kwake.
Nazingatia zaidi heshima yangu na jina langu kwa jumla, mimi na Wema basi, sitaki tena kumsikia na ninawaomba Watanzania waelewe hivyo kuwa kwa sasa sipo na Wema, alisema Kanumba.
Gazeti hili linampongeza Kanumba kwa uamuzi wake wa kuachana na Wema, kwani kwa kufanya hivyo ameonesha kwamba anaona mbali. Muhimu kwa sasa ni kuzingatia kazi zake ambazo ndizo zinazomjenga kibiashara na kumpa jina kubwa. Tunamshauri asirudi nyuma. MHARIRI.
Msanii 5 Star barani Africa, Steven Charles Kanumba sasa anajuta kuwa na Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu na amemkinai, hataki hata kumuona.

SOURCE: SHIGONGO