Kanumba achanganyikiwa

Kanumba achanganyikiwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Gazeti ‘grade one’ kwa habari za mastaa, Ijumaa Wikienda linaweza kueleza kinagaubaga, jinsi Kanumba alivyochanganyikiwa kutokana na jinsi penzi la Wema ‘The History’ ambalo limemfanya achafuke licha ya heshima kubwa aliyonayo kwenye jamii.
Rekodi zinaonesha kuwa mpaka sasa Wema amekwishamgombanisha Kanumba na marafiki zake wanne, kitu ambacho kimemfanya amchukie.

Hata hivyo, gazeti hili linaweza kuweka wazi kuwa baada ya kubaini kuwa Wema anamjengea maadui, hivi sasa Kanumba hamtaki tena na anajuta kumfahamu.

Mpya zaidi inawekwa kweupe kwamba Jumatano iliyopita, Kanumba nusura atwangane na brazameni wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Charles Gabriel Mbwana ‘Chalz Baba’ kwa kile kilichotafsiriwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Habari zinasema kuwa siku hiyo, Twanga ilikuwa inafanya shoo yake kwenye klabu yenye jina kubwa nchini, Bilicanas ambapo Wema alifika mapema kuona shoo pasipo kumtaarifu Kanumba.

Ilielezwa na chanzo chetu makini kuwa Kanumba pasipo kujua kwamba Wema yupo Bils, aliwasili kiwanjani hapo kwa ajili ya kusugua kisigino na wanatwanga.

“Tulikuwa na Wema, yeye hakujua kwamba Kanumba angekwenda pale, sisi tulienda kwa kujiiba,” alisema mtoa habari wetu ambaye ni mtu aliye ‘vere kloz’ na mastaa hao.

Aliendelea kusema: “Kanumba alikuwa amekwishasikia habari kuwa Wema na Chalz wanatoka, kwahiyo akawa kimya, sasa siku hiyo alipofika Bils akawakuta pamoja ndipo ‘vagi’ lilipoanza.

“Chalz akataka kumtoa wasiwasi Kanumba kuwa hakuna kinachoendelea kati yao, kitu ambacho kilizidi kumuudhi Kanumba ambaye alikaribia kumkunja Chalz lakini ugomvi ukaamuliwa kabla mambo hayajaharibika.”

Chanzo chetu kilisema kuwa hapo kabla Chalz na Kanumba walikuwa marafiki ambapo mwanamuziki huyo alipenda kumuimba msanii huyo kila mara alipohudhuria kwenye maonesho yao.

Aidha, gazeti hili ni shuhuda wa baadhi ya maonesho ya Twaga ambapo mara kwa mara Chalz alimuimba Kanumba ambaye naye alijikokota jukwaani na kumtuza.

Katika kupata kauli zao, Kanumba na Chalz walikuwa wagumu kupokea simu, wakati Wema yake ilikuwa imezimwa muda wote.
Aidha, Ijumaa Wikienda liliwaandikia ujumbe mfupi wa maneno (SMS) na ukafika kwenye simu zao ambapo baada ya kusoma, Kanumba aligutuka na kumsaka mwandishi wetu.

Akiongea na gazeti hili, Kanumba alikiri kukutana na Wema na Chalz kwenye shoo ya Twanga, Club Bilicanas lakini hautokea ugomvi.

Kanumba alisema kuwa ni kweli Wema alimfuata na kumsalimia lakini watu wamechukulia tofauti kuwa alimkoromea mrembo huyo na kutaka kugombana na Chalz.

Mbali na Chalz, habari nyingine zinasema kuwa mapema wiki iliyopita, Kanumba alimvaa Mkurugenzi wa Hartmann Production, Hartmann Mbilinyi na kumhoji kisa cha yeye kutembea na Wema, wakati anatambua alikuwa mai wai wake.
Habari zinasema kuwa Jumanne iliyopita, Sinza Mori, Dar, Kanumba alimbananisha Hartmann kwa dakika kadhaa, akimtaka ampe maelezo ya kina.

Ilielezwa na chanzo chetu kuwa Kanumba a.k.a The Greatest alimtuhumu Hartmann kwamba si mwaminifu ndiyo maana akitambua fika wao ni marafiki lakini ameweza kula ‘urojo’ na shemeji yake.

Chanzo chetu kilieleza kuwa Kanumba alimuuliza Hartmann kama atajisikiaje siku akisikia yeye (The Greatest) ametoka na Aunt Ezekiel ambaye ni nyumba ndogo zilipendwa ya mkurugenzi huyo wa Hartmann Production.

“Kanumba alimwambia Hartmann kuwa maumivu atakayoyapata ndiyo aliyonayo kwa sasa,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:

“Baadaye Hartmann alimuomba msamaha Kanumba na yakaisha huku wakiambiana ibaki kuwa siri.”
Kanumba hakupatikana kuzungumzia ‘ishu’ hiyo lakini Hartmann alipoulizwa alibabaika kutoa jibu.
“Aah, yaani na hii mnataka kuandika? Ninyi mmejuaje, kawaambia Kanumba nini, basi kamuulizeni yeye mwenyewe,” alisema Hartmann.

Mbali na hao, huko nyuma Kanumba amewahi kugombana na rafiki yake wa karibu, mshirika mwenzake wa zamani katika Kundi la Kaole Sanaa, Mohamed Mwikongi ‘Frank’, chanzo pia kikiwa ni penzi la Wema.

Ijumaa Wikienda, lilipozungumza Frank mwaka 2007 alikiri kukosana na Kanumba kwa sababu ya Wema.
Mtu mwingine aliyegombana na Kanumba kwa sababu ya penzi la Wema ni mjasiriamali Jumbe Yusuf Jumbe ambaye yeye alimbeba mrembo huyo jumla na kuishi naye.

Katika sakata lao, Jumbe na Kanumba walifikia hatua ya kugombana ambapo gari la msanii huyo lilivunjwa vioo.
Kanumba akiongea kwa jumla, alisema kuwa hivi sasa hana habari na Wema, akaongeza kwamba mwanamke huyo atabaki historia kwake.

“Nazingatia zaidi heshima yangu na jina langu kwa jumla, mimi na Wema basi, sitaki tena kumsikia na ninawaomba Watanzania waelewe hivyo kuwa kwa sasa sipo na Wema,” alisema Kanumba.

Gazeti hili linampongeza Kanumba kwa uamuzi wake wa kuachana na Wema, kwani kwa kufanya hivyo ameonesha kwamba anaona mbali. Muhimu kwa sasa ni kuzingatia kazi zake ambazo ndizo zinazomjenga kibiashara na kumpa jina kubwa. Tunamshauri asirudi nyuma. MHARIRI.

Msanii ‘5 Star’ barani Africa, Steven Charles Kanumba sasa anajuta kuwa na Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu na amemkinai, hataki hata kumuona.

SOURCE: SHIGONGO
 
Ndio kazi ya Shigongo

JF hatuwezi kuwa LOW kiasi hichi kiasi cha kuanza ku copy and paste kutoka kwenye gazeti la mtu asiyekuwa na akili kama shigongo..give us a break,....this is too low for this forum...
 
Ndio kazi ya Shigongo

mimi naona hii ni kazi ya aliyekopi kwa shigongo na kuileta huku, kana kwamba ina umuhimu wowote! nimepoteza bytes nyingi tu kufungua habari hii is..........! damn
 
haya magazeti ya udaku yameshatuchosha kanumba ,wema hakuna habari zingine
 
wao ndo biashara zao, nahisi hata wanawalipa ili kuwatoa na habari zisizo na kichwa wala miguu!
 
Its boring jamani.... Hii ni blog ya great thinkers na SIO MAMBO MAMBO YA UDAKU....
 
Ukweli hii habari siyo level yake humu. Hata hivyo msimseme sana Shigongo, coz hata marekani haya magazeti yapo tena udaku wake unaenda mbali.
 
wadau kwani haya maudaku yanauzwa sh ngapi? huwa nayaona sana mitaani lkn sijawahi kujua hata bei yake, hata kuulizia tuu bei huwa najihisi vibaya
 
yani nini tena?....kazi hakuna ...jipya hakuna wema na kanumba ndio nini?
 
Huyu jamaa naye ana mambo yake sema hakuna mtu wa kumuandika
 
Ukweli hii habari siyo level yake humu. Hata hivyo msimseme sana Shigongo, coz hata marekani haya magazeti yapo tena udaku wake unaenda mbali.

Kwa hiyo tuendekeze huu upuuzi kwa sababu ata Marekani kuna magazeti ya udaku?
 
Mi nasoma thread nikitegemea wanamaanisha Kanumba ni mgonjwa wa akili yuko Milembe, kumbe ni haya madudu???

Udaku wowote ni wastage of time..uwe Marekani au Tz, basi tu wanafanya kwa vile kuna watu wapo tayari ku poteza muda wao and pay some cash for it...
 
mi nilijua anatakiwa mirembe kama WAZIRI SOPHIA SIMBA!!LOH PENZI!!!
 
JF hatuwezi kuwa LOW kiasi hichi kiasi cha kuanza ku copy and paste kutoka kwenye gazeti la mtu asiyekuwa na akili kama shigongo..give us a break,....this is too low for this forum...

Phil;

Ngoja nikupe siri, nilibahatika kuwa karibu na baadhi ya "wauza sura" wa bongo.
Kuandikwa kwenye madazeti ya Udaku ni moja ya mikakati yao ya kujulikana.

Lazima Shigongo akuandike angalau mara moja kila mwezi ili ubakie kwenye chati.

Yaani sometimes kama story sio nzuri hawa mastaa uchwara WANALIPIA WATOKE KWENYE HAYA MAGAZETI.

Kama hii story ya Kanumba itakuwa kaiandika yeye na kuilipia, check inavyoweka matukio ya nyuma kisha kumsifia FIVE STARS ACTOR, mara the greatest.

Hii fani ya usanii bongo ni ya walioshindwa kwenda shule au waliofeli shuleni, upeo mdogo sana.

Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kama hajaandikwa mara hata mara moja kwa wiki anajisikia vibaya sana.

Thats it, belive me, Am sure with what I have written.
 
Back
Top Bottom