Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

In reality kuna waliofanikiwa kuongeza. Kuna makabila hiongeza kienyeji kwa kutumia tiba ya asili. Wasukuma, Wamasai na Wakurya. Nenda vijijini kwao kabisa ongea na wale wazee wa mila utapata msaada.

Unaweza nenda Manyara ukadadisi wapi kuna mila za kimasai zilizo imara, nenda huko onana na vijana wakupeleke kwa wazee maana wana taratibu zao. Achana na hawa wa mjini ujanja mwingi.
Mkuu sisi wakurya hatuna dawa ya kuongeza mungu tu ndio ameamua kutubariki.
 
Nawasalim wana jamii forum wote,habari zenu.
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20,ninahisi uume wangu ni mdogo na mfupi tofauti na vijana wengine niliowaona pia masterbation nimepiga sana lakini sijui kama nayo ina changia...naombeni msaada wenu niongeze unene na ukubwa wa uume wangu
Vile vile ambapo hakuna dawa za kuongeza ufupi wa mwili kuwa mrefu ndo vile vile ambavyohuwezi ongeza wa dushe . Utatapeliwa
 
Nawasalim wana jamii forum wote,habari zenu.
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20,ninahisi uume wangu ni mdogo na mfupi tofauti na vijana wengine niliowaona pia masterbation nimepiga sana lakini sijui kama nayo ina changia...naombeni msaada wenu niongeze unene na ukubwa wa uume wangu
Tuwasiliane PM
 
Jitahidi ueleze mada vizuri ueleweke na kupata msaada.

Umeandika kama unafukuzwa, hata heading.
 
Ooky nice nihow kustrength nakuiongeza ukubwa dick
Ninachojua mimi...Ili kuimarisha uume, mazoezi ya viungo na ulaji mzuri ni vitu vya muhimu sana.

Unapofanya mazoezi ya viungo unaimarisha misuli ya mwili ikiwapo na hiyo ya dushe...na wakati huo huo unapunguza mafuta yaliyozidi mwilini.

Vyakula vya protein vinachangia pia kuimarisha organs za mwili na dushe pia.

Aidha, nilisoma humu kuwa ukiweza kusaga na kutumia kitunguu swaumu+tangawizi na Asali vinasaidia sana.

Ikiwa Chronic nenda kwa wamasai wakuchanganyie wenyewe dawa. Watakupa kwnz ya kuharisha kwa siku 2 then hiyo ya hizo mamboz...gharama inaweza fika kama elfu 40-50 hivi

Kuna hao wa Ngaramtoni sokoni ni hatari sana labda uwe na wake wawili au zaidi
 
Ninachojua mimi...Ili kuimarisha uume, mazoezi ya viungo na ulaji mzuri ni vitu vya muhimu sana.

Unapofanya mazoezi ya viungo unaimarisha misuli ya mwili ikiwapo na hiyo ya dushe...na wakati huo huo unapunguza mafuta yaliyozidi mwilini.

Vyakula vya protein vinachangia pia kuimarisha organs za mwili na dushe pia.

Aidha, nilisoma humu kuwa ukiweza kusaga na kutumia kitunguu swaumu+tangawizi na Asali vinasaidia sana.

Ikiwa Chronic nenda kwa wamasai wakuchanganyie wenyewe dawa. Watakupa kwnz ya kuharisha kwa siku 2 then hiyo ya hizo mamboz...gharama inaweza fika kama elfu 40-50 hivi.
Nimekupata vizur sana ndugu,, napia kufanya mazoez excess yanaweza kusababisha ukapoteza uwezo nakuilegeza msuli yahuko
 
Back
Top Bottom