Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

Lile suala la kuvaa kilazima LOGO YA GSM naona linataka kurudi kimya kimya!!!
 
tatizo sio TFF, hivi vilabu viliunda bodi ya ligi Ili kusimamia maslahi Yao lakini kwa ujinga wa viongozi wao imewaachia mamlaka yote TFF.
kutokana na uundwaji wa bodi ya ligi ni kuajili watendaji wake kitu ambacho hawafanyi badala yake TFF ndio inaajili hao watendaji ila mishahara inalipwa na bodi ya ligi.
Kuingia mikataba na wadhamini na TFF kupata asimia 10 ya mapato ya mkataba lakini TFF imekuwa ikiingia mikataba ya udhamini na kuchukua asilimia 20 ya mapato.
TFF ndio inapanga kanuni za ligi na kuchukua mapato mengi ya ligi kama malipo ya wachezaji wa kigeni.
Mkuu umenikumbusha kitu kingine. Kumbe hata malipo ya wachezaji wa kigeni TFF ndio wanayakula? Hawa fisi hawafai kabisa; ufisadi upo damuni mwao!😨😨😨
 
Sasa mbona muanzisha mada anadai TFF wamepitisha kanuni Kibabe? Ukweli ni upi?
Ukweli ni kwamba wawakilishi wa vilabu waligoma lakini TFF wakatumia ubabe kupitisha. Na kamati ya hadhi za wachezaji haikushirikishwa. Wasingekubali kanuni za kiqumer kama hizi zipite bila kupingwa.

Tatizo nchi hii kila mtu anajali tumbo lake tu!
 
Ukweli ni kwamba wawakilishi wa vilabu waligoma lakini TFF wakatumia ubabe kupitisha. Na kamati ya hadhi za wachezaji haikushirikishwa. Wasingekubali kanuni za kiqumer kama hizi zipite bila kupingwa.

Tatizo nchi hii kila mtu anajali tumbo lake tu!
Hapo ndio tatizo lilipo mkuu

Sasa huu mkanganyiko unatatuliwaje
 
Hapo ndio tatizo lilipo mkuu

Sasa huu mkanganyiko unatatuliwaje
Ni shida kubwa sana. Kwa kuwa TFF wameshindwa kusimamia mpira kwa ufanisi, nashauri TFF ibinafsishwe kwa waarabu huenda tukapata tija.
 
Ni shida kubwa sana. Kwa kuwa TFF wameshindwa kusimamia mpira kwa ufanisi, nashauri TFF ibinafsishwe kwa waarabu huenda tukapata tija.
Mmh sidhani kama ndio muarobaini wa hilo tatizo
 
Ni mpotoshaji tuu huyo, vilabu ndio watekelezaji wa hizo kanuni sasa wataachaje kushirikishwa

Kuanzia kuvaa logo ya mdhamini mabango nk
Hivi lile swala la GSM hadi simba ikagoma kuvaa vilabu vilishirikishwa?
 
Hapo ndio tatizo lilipo mkuu

Sasa huu mkanganyiko unatatuliwaje
Mimi sio mwanasheria ILA nadhani unaweza kutatuliwa Kwenye mahakama ya Kazi/Biashara au vyombo vyovyote vilivyo na nguvu ya kisheria kwenye mambo ya mikataba ya kazi na Biashara. Nadhani hata mahakama za kawaida zinaweza kutoa mwongozo (Hili sio suala la Kimpira BALI kibiashara). Inabidi mwongozo utolewa juu mkataba upi unaopewa kipau mbele yaani
1. Club na Mdhamini
2. Club na mchezaji
3. Mchezaji na mdhamini
4 TFF/ board ya ligi na mdhamini
Ahsante
 
Mdhamini mkuu lazima aheshimiwe ,kama CRDB wanapesa wangekuwa wadhamini wakuu....Conflict of interest zipo kila mahali hivyo lazima kulinda maslahi ya mdhamini mkuu...TFF wapo sawa.
 
Mfano Yanga inadhaminiwa na sportpesa, je inawezekana Diarra binafsi akaingia mkataba na betpower? Yanga watakubali?
Inawezeka si endorsement au wabongo ,we hauoni ulaya wachezaji kibao wanaingiza mikataba na kampuni za vifaa vya michezo,kwa mfano adidas au Nike na wanatumiwa kutangaza bidhaa mbalimbali tu, Sasa mnadhamini WA ligi anahusikaje na side hustles za players?
 
Back
Top Bottom