Sisi hatujawah kuwa na Hela πππKuna mmoja jana nipo ferry natafuta DALADALA ya kwenda Mwenge, gari hakuna.
Ikaja BAJAJI nauli elfu 2 tuuuu. Yaan buku 2.
Mdada mzuri , classy ile mbaya najua elfu 2 anayo. Ila alijishauri sana anachungulia tu ktk bajaj kupanda anataka ila anawaza elfu 2 kulipia nauli wakati hapo ni jero tu kwa Daladala.
End of the day hakupanda ile bajaji.
Mtu wa hivi ukimuita aje muonane utaskia "Nirequestie Uber/Bolt daladala siwezi"
Hapo kuna ukweli. Mwanamke hata akinunua muwa barabarani kama mko naye basi jua hiyo hela ya muwa itabidi uirudishe tena na riba ya 10KΒ² πWameshasema mbona mpwa πππ
wanawake wengi hatufanyi starehe tunadandia starehe za wanaume mwanamke kuspend 1 million aloitafuta ni kazi sanaππ
Ukitaka kujua maana ya MAISHA jiangalie wewe sahivi ulivyo na AFYA njema alafu vuta picha baada ya Masaa mawili mbele umepata AJALI na kukatika MIGUU utakuwa the same?...Hata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....
View attachment 2761772
Kula kunywa lakini sio Kwa elazetu na kma Kwa elazetu sikumoja tu ππsema ukweliStarehe yetu kula, kunywa, kuvaa na kupata kikunio boraa ππ
Kuna mwamba alicoment moja ya UZI akasema kuna jamaa yake alikuwa hana Kodi analia lia, MKE wake akawa anampa tu MOYO pole mpenzi yatapita, pambana upate kodi.πππYani lazima irudi kwanza hata kutukopa hatutaki mpenz wangu alibanwa na ishu muhimu akaniazima 350K Yani Hadi usiku niliweweseka Kila mda nakunywa maji ππ Yani sisi ni special Caseππ
Kifo kiache tu mpwa kinafanya maisha wakt mwingine yaonekane hayana maana kabisaHata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....
View attachment 2761772
Hahha mm Huwa sifich alijua siku hiyo Nina kibunda na ningekataa ningekuwa mchawiπππKuna mwamba alicoment moja ya UZI akasema kuna jamaa yake alikuwa hana Kodi analia lia, MKE wake akawa anampa tu MOYO pole mpenzi yatapita, pambana upate kodi.
Sasa kuna siku akafungua kabati la nguo ndani akakuta 900k Mkewe kazificha. JAMAA alipita nazo jumla jumla.
Amekurudishia sasa?Hahha mm Huwa sifich alijua siku hiyo Nina kibunda na ningekataa ningekuwa mchawiπππ
Hahahah nyie viumbe, ndio maana tuliambiwa tuishi na nyie kwa Akili..Alirudisha baada ya siku nne hiv baada ya wiki 2 nikamkopa laki 2 nafikir sijalipa had Leo na Ilikuwa mwaka jana ππππ
πππSasa kosalangu ni lipiHahahah nyie viumbe, ndio maana tuliambiwa tuishi na nyie kwa Akili..
Kutolipa madeni kunafunga baraka ya pesa,πππSasa kosalangu ni lipi
Sahihi ila siyo saanaUpo sahihi Sana
Umemdhulumu ndugu yetu.....πππSasa kosalangu ni lipi
Na sahihi ni ipi?Sahihi ila siyo saana
Sahihi saana ni ipi?Na sahihi ni ipi?
Alinisamehe sikunyingiKutolipa madeni kunafunga baraka ya pesa,
Uhitaji hautokauka upande wako, wakati huo huo utawaona uliowakopa wakishamiri.
Ni mara nyingi sana niliowakopa na wasiniridishie,hurudi tena kwangu kunikopa.
Imeandikwa ni heri Kutoa kuliko kupokea,
Wanawake wengi Si matajiri pia sababu Si watoaji wa pesa!!
Alinisamehe badae ππUmemdhulumu ndugu yetu.....
Kuna makubaliano mliingia si bure.. ni kawaida yetu Wanaume...Alinisamehe badae ππ