Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Na tunazitoa wapi? Sisi tuliambiwa tupendwe na tutunzwe hivo vingine viherehere 🤣🤣🤣
Umesahau kukamilisha sentensi halafu tumeambiwa tuwatii hao wanaotutunza🤣
Kivumbi kipo hapo kwenye kutiiana🤣🤣 Siku hizi tumeota mapembe, Yani uambiwe usiende kikoba halafu kweli utulize dako nyumbani? Basi mambo mvurugano tu🤣🤣
 
Hapo sawa kma starehe ya kula hata mm Nimo lakini nipike mwenyew sipend kutoka nipike mwenyew nyumban nawaita watoto wa jirani wale hapo Huwa naenjoy sana
Lini unapika unialike? If u don't mind..
 
Ila yeye Mungu ndio kaweka 10%...
Agano jipya imeboreshwa,

Mama mjane alitoa 100%, Yesu akapigilia msumari,

Moses kulola pia alivunja hiyo kanuni ya 10% na ndo ikawa mlango wa nguvu kubwa alikuwa nayo!!

Watu wengi wamewahi uza nyumba na Mali zao Kwa ajili ya INJILI.
 
Sasa AGANO jipya si ya KITAPELI?
Kuuza MALI kwa ajili ya DINI ni sahihi kwa upande wako? Je ni lazima niuze zote? Au nigawe kwa msingi wa 10%..?
 
Yeah , Sadaka ina nguvu.

Then, ishu ya kufurahia MAISHA si lazima uwe na hela nyingi.. hapana. Unaweza kutumia hata hicho kdg ulichokuwa nacho ukajisuuzisha nafsi.

Kuna watu AKILI zao ni KUJENGA tu, mtu wa hivi akikukuta upo sehemu umeagiza mguu wa mbuzi unakula atakushangaa hapo kashapiga hesabu ya lori la Mchanga au mifuko 8 ya Cement.

Anajenga hamalizi miaka 10 ANAKUFA na bado ana deni la UJENZI.. Na Maisha hajayafaidi na MWANAUME mwenzie anahamia hapo na kumuoa MKE wake.
Anajenga hamalizi miaka 10 ANAKUFA na bado ana deni la UJENZI.. Na Maisha hajayafaidi na MWANAUME mwenzie anahamia hapo na kumuoa MKE wake.
 
Back
Top Bottom