PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Kumbe kundi D tulikua mabingwa tu?Uko sahihi kabisa na hizi droo huwa zinafanyika live na mimi nimewahi shuhudia.
Leo ofisini kuna shabiki wa Simba kanieleze kundi la Yanga lilipangwa hivyo kwa mabingwa kukiutainshwa nikashangaa na ndio maana nilitumia maneno "kama ni kweli," kwasbabu nilikuwa na mashaka ila kwasbabu sikufuatilia, sikutaka kumbishia.
Hebu la SIMBA!!!
SIMBA -Hakua bingwa
WYDAD -Hakua bingwa
ASEC -Nafatilia
JWANENG -huyu mbovu tu hata sifatilii
(Jokes tu, kwa watani)