Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

Kumbe kundi D tulikua mabingwa tu?

Hebu la SIMBA!!!

SIMBA -Hakua bingwa
WYDAD -Hakua bingwa
ASEC -Nafatilia
JWANENG -huyu mbovu tu hata sifatilii
(Jokes tu, kwa watani)
 
Kumbe kundi D tulikua mabingwa tu?

Hebu la SIMBA!!!

SIMBA -Hakua bingwa
WYDAD -Hakua bingwa
ASEC -Nafatilia
JWANENG -huyu mbovu tu hata sifatilii
(Jokes tu, kwa watani)
Tena likiwa na Waarabu wawili kutoka kwenye nchi zenye ligi bora barani Afrika.
 
Uje na hoja usingizie mtu ambaye hakuleta hoja hapa.Siku nyingine fuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…