Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Tutaelewa tu baadae kama ni uzushi ama ukweli!
Si tunfungua nchi!
Wayalete tu, kwani wanaogopa nini? wacha watu wale mayai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaelewa tu baadae kama ni uzushi ama ukweli!
Si tunfungua nchi!
Mkuu 'ANKOJEI'' hebu pata picha hii:WANAKANUSHA NINI wakati rais alienda kenya kufungua fursa, arusha kilombero yako kibao yanaingia kwa njia za panya.
Hayo Mayai yametoka Marekani ?Mkuu 'KeyserSoze', inawezekana kweli "unashindwa kuelewa", kwa mfugaji anayefuga kuku 100,000 huko Marekani, anavyoweza kumshinda mfugaji wetu hapa Tanzania mweye vikuku 1,000 kwa sababu haya mambo huyafahamu vizuri.
Hilo siyo kosa lako; kosa ni huko kudhani kwamba huyo wa kuku 1,000 ataweza kuhimili ushindani kwa mazingira ya hapa nyumbani.
Hapa, sijui kama yanatoka Marekani au la, wewe unajuwa?Hayo Mayai yametoka Marekani ?
Kuweza kushinda kwenye world market inabidi hata huyo mwenye kuku mia au mia mbili aungane na wengine na kutengeneza umoja (Umoja ni nguvu) unadhani Kenya kila mtu anafuga mmoja mmoja ? Watu wanaungana na kutafuta masoko kwa pamoja...
Hili la kuzuia ili mwananchi atoe pesa mara mbili unasahau kwamba ile pesa ambayo angesave kwenye mayai angenunua tikitiki au mguu wa kuku hence kumsaidia yule mkulima wa tikiti au mguu wa kuku...
Bila kuungana na kununua vyakula kwa pamoja na kutafuta masoko kwa pamoja kila leo watakuwa wanalia bidhaa zisitoke nje (wanasahau hata tulio ndani hatuna buying power ya kutosha hence ni mwendo wa kuumizana na kutiana umasikini tu)
Kuna kitu hakiko sawa kwenye hiyo taarifa ya wizara, kwani yapata wiki sasa bei ya mayai kwa dar imefikia 6500 kwa tray moja (bei ya jumla)toka 8000!! Mimi sioni tatizo kwani inaonekana kwa sasa mayai kutoka kenya yameanza kuingizwa nchini, na hata suala la vifaranga vya nyama, kipindi cha mwenda zake, alipiga marufuku kuingizwa kukawa na shida kweli ya vifaranga, kwani wazalishaji wa ndani wahatosherezi soko, wakaja na masharti kibao kuwa ili kupata vifaranga lazima vianzie 500, na ununue chakula kutoka kwao cha vifaranga hao 500!!!wenye mitaji ya kuunga ikawa balaa!!Lisemwalo lipo...