Kanyaga haitafika Mbali

Kanyaga haitafika Mbali

Hata mimi wakati ametoa nenda kakwambie bell9 alikuwa aktoa sumu ya penzi nikawa nawambia watu huyu jamaa sijui kwanini watu wanapenda huu wimbo huyu hadumu ni upepo tu lakini niliposkia mbagara na moyo wangu nikasalimu amri kuwa he is here to stay nikakubariana na ukweli
yani toka waanze na hii anguko lake lipo karibu!
sijui hawachoki!
 
Hata mimi wakati ametoa nenda kakwambie bell9 alikuwa aktoa sumu ya penzi nikawa nawambia watu huyu jamaa sijui kwanini watu wanapenda huu wimbo huyu hadumu ni upepo tu lakini niliposkia mbagara na moyo wangu nikasalimu amri kuwa he is here to stay nikakubariana na ukweli
I loved the boy since day one!
SIJAWAHI DOUBT KAZI YAKE, toka wimbo wa kwanza!
SIJAWAHI!
cc Ruttashobolwa
 
Chief kama mama na baba yako hawakukuelimisha na kukushawishi unategemea diamond leo ndio aje kukuelimisha..

Watu tunataka burudani tu na ndio tunayoipata kutoka kwa kijana wetu
 
Inavunja rekodi zake huko ina 1M viewers ndani ya masaa 13 endelea kuota
 
Ninaona wanaume mlivyo na mahaba ya dhati kwa diamond ...aiseee..
 
Naona bado unatetema wkt wenzio wanakanyaga[emoji23] shaur yako
 
Mziki lengo lake ni burudani na uasharati tu. Unapotegemea uelimishwa kupitia mziki, wewe sio mzima. Shuleni hujaelimika? jamii haijakuelimisha? Hakuna elimu utakayoipata kwenye mziki. Amkeni!
 
Back
Top Bottom