sijaiona cha ajabu hapo......!!
Yale yale ya national church of beyonce 😞
Huoni ajabu mungu kupanda jukwaani na kuanza kufoka foka?? Huoni ajabu mungu kushika makalio ya kim kadashian??
Kuna tofauti kubwa sana tena sana kati ya "god" na "God" akisema yeye ni "god " mimi sina shida nae ila kama ni "God " ajiangalie atakuja kupigwa pigo a "kanye magharibi "
Hahhaha kweli din inauma. Wakristo wamepata mungu mpya leo.
Hiyo nayo ilikuwaje??
Hawa watu mweeeeeh!!!
Mnashamgaa kwani hamshangai aliyeigiza maisha ya yesu?
Na mnaitumia picha bila haya na kumsema yesu.
Kumbukeni wote "walipomjua Mungu hawakumpa utukufu bali walibadili na kumpa mwanadamu,hayawani, ndege na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa Giza ili wauamini upuuzi" na Mungu amewaacha.
Ushasema ""kaigiza"" sasa tatizo liko wapi?
Hata mtoto wa primary anajua yule si yesu ila ana play role kama yesu kufikisha ujumbe ulioandikwa ktk biblia, kuna watu wavivu kusoma ila wakiangalia ""maigizo"" wanakuwa tempted kurudi kusoma yaliyoandikwa zaidi coz thats only a part played of a lot he did alipokuwa duniani.
Hivyo acha kujitoa fahamu unless unahitaji definition ya ""KUIGIZA""
Or else nikuulize sura ya mtume unaijua ikoje hapo ulipo? Ushawahi kumwona mtume kwa macho yako ukahakiki ndie sahihi ktk vitabu vyenu?
Kama ndio una haki ya kusema tunaangalia picha ya yesu bila kumjua.