Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

Huu msemo wake anapendaga kusema I SOLD MY SOUL TO THE DEVIL!!! Unanisisimuaga sana...kiukweli anahitaji kuombewa rehema kwa hapo alipofikia...
 
kwahiyo kim kadashian ni mke wa mungu....????
 
Go Kanye, Go.. It's a free world. God is a myth and everyone can mould everything with power of utterance. But my question to you is, was it necessary to use Bible in Disguise?!
 
Kanye kavurugwa, atatufundisha nini kuhusu mungu bhana! Na biblia imejificha wapi?
 
Afanye hvyo na kwenye kuruwani halafu tuone kitachotokea.

Ha ha ha haya bhana kuna jamaa alikojolea Quaran tukufu kule mbagala na hakugeuka chochote bali mlitaka kumuua.Wewe kama muislamu unafikiri ni kwa nini hakupatwa na lolote lililo baya.Je,Quaran haina nguvu yoyote ile au wakati wa yule jamaa kugeuka kitu cha ajabu haujafika?Naomba maelekezo tafadhali.
 
Huyu atakuwa Israel mtoa roho anamnyemelea
 

Labda alikojolea Bible
 
Walikuwa wanabishana na mwenzake kwamba akikojolea msahafu atageuka na kuwa mnyama sasa dogo akakojolea kweli na mpaka leo anaishi sema huo mzozo ulioibuka hapo sio wa nchi hii.

Hivi lile sakata liliisha vipi?
 
Basi hangaika na mungu wako alie hai achana na yasokuhusu kama huyaelewi. Si lazima ujue kila kitu.

Unamateso ?? Umekabwa shingo nn povu jingi

Nimekuambia kama unamoyo kiduchu usichungulie huku kwa waliokamili tu.
 
Aanzishe asianzishe ni juu yake...

Kumsema au kutomsema haibadilishi chochote...
 

Publicity stunt. Its stupid tho.
 
Publicity stunt. Its stupid tho.
I would say stupidity is being bothered a Stupid who's just being his stupid-self, Boss.

Best way to deal with such, is to show them, though you may not be too big to notice, you surely is too damn big to pay them any mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…