George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
namuonea HURUMA sana MWANAMKE utakayemuoa..!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume wa dar hao wanaolewa awaoi ahahahahanamuonea HURUMA sana MWANAMKE utakayemuoa..!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!
mkuuu hao, ni watu waliondelea wanajifunza daily na wanajua kukubal kitu hata kama cha mtu mdogo, unadhan Kanye ana ego au kujikuta kama ww au wabongo yeah………wanaume wa dar hao wanaolewa awaoi ahahahaha
Tunaposema watanzania wengi ni wa pumbavu huwa tunakujumuisha na ww,Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
ha ha haTunaposema watanzania wengi ni wa pumbavu huwa tunakujumuisha na ww,
Huyo kanye au kajambe unaye sema 'unaye mjua wewe' ume muona wapi mpaka kiasi cha kumjua kama ameshangaa, si bora hata huyo aliye kutana naye,kisha sasa ulitaka apige naye picha ngapi? na pete ya thamani gani eti? Nani fiksi hapo.Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
Hahah mambo ya kuoa yametoka wap hapa acha umburula wewe changia mada kama vipi pita vile ...shwaiiin!!! Utamuonea huruma kwani wewe baba yake ...nyie ndo mahaba Niue wa akina diamond ..akikosolewa tu mko radhi mtembee uchinamuonea HURUMA sana MWANAMKE utakayemuoa..!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!