Kanye West alimshobokea Diamond

Kanye West alimshobokea Diamond

Eti Kanye we unamjua hahahhahahahhaah.

We unamjulia wapi Kanye West ?
 
unafahamu kwamba hata yeboyebo zinaweza kufanyiwa modification na kuuzwa kwa bei ya ghali?
namaanisha hata hicho kiatu cha Diamond kinaweza kumpa idea Kanye akaingiza mzigo matata sokoni #yeezy
 
wanaume wa dar hao wanaolewa awaoi ahahahaha
mkuuu hao, ni watu waliondelea wanajifunza daily na wanajua kukubal kitu hata kama cha mtu mdogo, unadhan Kanye ana ego au kujikuta kama ww au wabongo yeah………

Hiv unajua Beyonce alifunga safari hadi Africa, na kuwalipa pesa local dancers ambao hata hawamjui ili wamfundshe kucheza, inawezekana
 
Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
Tunaposema watanzania wengi ni wa pumbavu huwa tunakujumuisha na ww,
 
Wivuu hiloo lizomeeeeni iloo iloo..mwache Dai wetuuuu
 
Jaman naomba tu niongee yangu ambayo yametokana na stori ya majuzi kati ya dai kumit na kanye west airport sjui...dah eti " nlikua airport jamaa akaja akomba kupiga picha viatu vyangu nkamwambia hayo baadae tuongee mengine tukapiga na selfie " dah haha jaman mbona kama fiksi za mchana kweupe?? Kanye west one of the richest rappers and best designer ...aombe kupiga picha viatu vya mtu?? Kanye nnaemjua mm anapoulizwa maswal na paparazzi anarusha ngumi..na ambae amemnunulia pete Kim thaman yake maybe ni bajet za wizara 2 hapa kwetu..na selfie yenyewe ukiiona kanye ni kama alikua ameshangaa flan hivi na ni picha moja tu ...dah jaman wakat mwingine tusidanganyane buanaah!!
Polen mashabik na wapenz wa moyon wa dai kama ntakua nmewakera. But ndo ukweli hio fiksi tu!!! Haha lol!!!
Huyo kanye au kajambe unaye sema 'unaye mjua wewe' ume muona wapi mpaka kiasi cha kumjua kama ameshangaa, si bora hata huyo aliye kutana naye,kisha sasa ulitaka apige naye picha ngapi? na pete ya thamani gani eti? Nani fiksi hapo.
 
Teh teh teh, teh.., mtoa mada sidhani kama atarudi hata kuchungulia humy ndani
 
hahaha mleta uzi mbio hadi AIBU duuh!
 
Ha!ha! Mimi ndo ningeku mleta uzi ningeuondoa tu maana umepata comment tofauti na mleta mada alivyotarajia #kukurupuka huku ni shida maisha ya mtu unataka kujifanya kama ulikuwepo eneo la tukio ha!ha,
 
Wakati unajiuliza kuhusu diamond na kanye ,, kaa chini fikiria yako je na wewe umeselfika hata na paka wa mtaani kwenu achaa majungu mtu mwenywe kazi kula wacha mahustlier wapige kazi # teamless
 
Mtoto wa kiume unatokwa na Povu jing mdomon kisa Diamond kuselfika na Kanye West? Amakweli ww ni mcheza pool asubuhi fanya kaz upate pesa uijue hata airport tu
Na uache kumfatilia Diamond Nyumbu ww km dance wa Lupela
 
namuonea HURUMA sana MWANAMKE utakayemuoa..!
mbona HASARA kubwa sana hii..!!!
Hahah mambo ya kuoa yametoka wap hapa acha umburula wewe changia mada kama vipi pita vile ...shwaiiin!!! Utamuonea huruma kwani wewe baba yake ...nyie ndo mahaba Niue wa akina diamond ..akikosolewa tu mko radhi mtembee uchi
 
Back
Top Bottom