Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Mkuu mimi ni member wa quora,![]()
Why is suicide rate among atheists so high compared to religious people? Are atheists more depressed than religious people?
Answer (1 of 17): 1. When your religion makes suicide a sin or some kind of eternally punishable act, it discourages it in favor of other ways of lashing out, such as abusing others, being a vile bigot, harming yourself, psychologically losing yourself to your religion, or having other unhealthy ...www.quora.com
Uwe unafuatilia mitandao mikubwa sio kuleta ushamba.
Ni msomaji mzuri sana wa midahalo mbali mbali ya mtandao huu.
Kwa tuhuma kuniita mshamba ni mtazamo wako tu, na sio mbaya
Japo wewe ni mshamba wa viwango vya juu!!
Nmekuomba ushahidi kusupport claim zako, umeniletea threads hiyo kutoka quora.
Yan umeniletea uzi tu wenye claims zile zile wala cyo ushahidi nliokuomba.
Katika uzi ulio share hapa, jamaa mmoja anaitwa Collin Wright na wengine wengi wanauliza swali kama langu la kuhoji evidence as i did here
Je unaelewa hata ulichokishare hapa au ulik!mbia tu google chap chap na kuleta hapa!!?