Huyajuwi mambo.[emoji23][emoji23][emoji23]kweli mwingine anaweza kua kama pipa kama hiyo picha inavyojieleza.
Mimi kanzu hapana
Huyajuwi mambo.[emoji23][emoji23][emoji23]kweli mwingine anaweza kua kama pipa kama hiyo picha inavyojieleza.
Mimi kanzu hapana
Diraa ni vazi la kuvaa nyumbani kwa mwanamke si la kutokea kama wafanyavyo kwetu, Tanzania.Swali lililonijia kichwani kimasihara..., tofauti ya kanzu na dera ni nini? Ukiachilia tofauti ya majina....
Hayo mavazi ni maalum au mahsusi kwa......
Nani alikudangaya kuwa eti nimeolewa? Kwetu hatuolewi.Haya ni maaajabu!¡! Kwamba na wewe umeolewa?!?
Huyajuwi mambo.
Mwanamme kanzu.
Diraa ni vazi la kuvaa nyumbani kwa mwanamke si la kutokea kama wafanyavyo kwetu, Tanzania.
Kanzu ni vazi la mwanamme la kiheshima, zipo kanzu za kutokea na zipo kanzu za kutokea na hata akienda karibu karibu na nyumbani basi anavaa hizo tu zinafaa.
Sijawahi kutoka nje ya mlango wa nyumbani kwangu na diraa. Tena napenda zaidi kuvaa kanzu za mume wangu, zile za nyumbani za cotton nikiwa nyumbani.
Tanzania utakuta mwanamke kavaa diraa au kikoi ndiyo eti nguo ya kutokea. Khaa! Majanga.
Kuna kaftan, kuna Punjabi dress, kuna marob (robe), kuna magauni (gowns), kuna jilbab, kuna khanga na vitenge unaweza kubuni mishono yenye staha na "comfort' kuna mitandio aina mbali mbali.Sasa sisi tunaovaa jeans kila siku msibani tutavaa nini madam kama sio diraa?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyajuwi mambo.
Mwanamme kanzu.
Jasho linategemea na aina ya mwili. i rarely sweat kwakweli.Kuna kaftan, kuna Punjabi dress, kuna marob (robe), kuna magauni (gowns), kuna jilbab, kuna khanga na vitenge unaweza kubuni mishono yenye staha na "comfort' kuna mitandio aina mbali mbali.
Zote hizo zipo "design" nyingi tu na zinapendeza kuliko madiraa.
Hayo ma "jeans" yenyewe mnayovaa siku hizi yanabana mpaka pumzi haitoki, ukilivua sehemu si harufu hiyo ya jasho imechanganyika na ya mashuzi, na nyie mmo tu, wanawake kwa wanaume. Khaa! Inahusu nini?
Mkuu hilo vazi ni tamaduni/vazi la waarabu,sio kwamba linavaliwa na dini fulani tuu,yeyote anaweza kuvaa haina shida,tatizo watu wamekariri.Hili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi
Kwao ni vazi la asiliHili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi
Hili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi