FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ama kuhusu kanzu, Agano la Kale linasema: “Ataoga mwili wote katika maji, kisha atavaa mavazi matakatifu. Ataingia mahali hapo akiwa amevaa mavazi matakatifu: joho la kitani baada ya nguo ya ndani ya suruali ya kitani na akiwa amevaa kanzu ya kitani na kujifunga mkanda wa kitani” (Walawi 16: 4).
Na Yesu alikuwa "katumwa" kwa nani? Soma...
23 Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, i
Au ulikuwa hujuwi kuwa Yesu basi lake ni kanzu?