safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sio kweli usemayo.Nikah kwa tafsiri halisi ya Kiarabu ina maana zaidi ya moja lakini kuoa halipo. Kama unaweza kalifanyie 'research". Usingoje kila kitu kufanyiwa.
Huu uzi hauhusiani na hilo, kama unataka kufundishwa zaidi nenda uzi wangu wa maswali kaulize ntakuja kukujibu.
Hapa ukitoka nje ya mada kuwa "brief" tusiharibu uzi wa watu.
Alafu sheria hutangulizwa kuliko lugha.
Hadithi wazi mtume kasema "mwanamke huolewa kwa mambo manne"
Tena hadithi imeaema تنكح kwa وزن (wazni) wa تفعل )tuf'alu) kwa maana mfanywaji.
Kwa hyo tunkahu manake mwanamke ndo huolewa kwa mambo manne.
Ila okey mama angu.
Sent using Jamii Forums mobile app