Kanzu ni vazi amazing, basi tu...

Kanzu ni vazi amazing, basi tu...

Unaonekana kama "pipa"hapo nimeelewa sana ni kwa nini nielekeze[emoji2]
 
Sio vazi la asili bali liliigwa kutoka kwa waarabu miaka Hiyo
Kwanijuavyo jamii zinazotumia kanzu unakuta watawala wao Walikua na urafiki na waarabu wakawa wanapewa zawadi ya mavazi hayo mwisho wasiku yakaoneka ndio mavazi yao

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi hawa Waarabu ni mahodari sana.

Nnakushauri kasome kuhusu "tunic" au "cassock" au "chitton" au "toga" au "himation".

Hata baadhi ya michoro ya Yesu anachorwa amevaa kanzu na hata biblia imeitaja kanzu.

Inabidi tuwaenzi sana Waarabu kwa kutupa "design" ya "fashion" inayoenda maelfu ya miaka sasa na haijachusha na takriban dunia nzima inavaliwa
 
Hili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi
Kanzu Ni vaz la heshima mtu yeyote anavaa

kilicho akilini kitumie
 
Huyajuwi mambo.

Mwanamme kanzu.

Diraa ni vazi la kuvaa nyumbani kwa mwanamke si la kutokea kama wafanyavyo kwetu, Tanzania.

Kanzu ni vazi la mwanamme la kiheshima, zipo kanzu za kutokea na zipo kanzu za kutokea na hata akienda karibu karibu na nyumbani basi anavaa hizo tu zinafaa.

Sijawahi kutoka nje ya mlango wa nyumbani kwangu na diraa. Tena napenda zaidi kuvaa kanzu za mume wangu, zile za nyumbani za cotton nikiwa nyumbani.

Tanzania utakuta mwanamke kavaa diraa au kikoi ndiyo eti nguo ya kutokea. Khaa! Majanga.
Mbona kuna wale wanawake watatu walivaa kanzu mwezi wa ramadan mwaka jana mliwadiss sana
 
Hili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi
Nani kasema kanzu ni vazi la waislam?
Kanzu ni vazi origin yake ni middle east na limevaliwa kabla hata ya mtume
Ni sawa na kusema suti ni vazi la wakristo
 
Nani alikudangaya kuwa eti nimeolewa? Kwetu hatuolewi.

Tunaoana.

Kuolewa ni hukohuko kwenu msikojuwa maana ya ndoa ni nini. Koma.
Mhhh kuona tena mama.

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا فِي الْيَتَامَىٰ فَانكِحُوا مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءِ مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُوا فَوَاحِدَةً أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَلَّا تَعُولُوا

[ AN-NISAAI - 3 ]
Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Aya haikusema "oaneni na mnaowapenda katika wanawake..." Imesema "OENI"

mwanamke anaolewa tu kuoana ndo nini.

Katika hadithi imekuja pia rasuul anasema..

تنكح المرأة بأربع......"

"Huolewa mwanamke kwa mambo manne..." Hadithi ikaendelea.

Na hadithi haikutaja kuowana.

Uislamu unatambua kuoa mwanamume na kuolewa mwanamke.
joanah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili vazi nilijua ni la waislam tu ila kuna wahaya walikuja kuoa kwetu na wote walikuwa wamevaa kanzu na koti na wote ni wakristo nilishindwa kuelewa kuna uhusiano gani kwa wahaya na hili vazi
Mkuu hakuna vazi la kiislamu.

Vazi lolote ambalo linakustiri vizuri na kukueousha na aibu za kuonekana maungo ya siri hilo ndo vazi haswa la kiislamu.

Sasa kanzu ni katika mavazi ambayo hustiri vizuri na kuondoa usumbufu wa kuvaa shati.

So ukimuona mtu kavaa kanzu usishangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh kuona tena mama.

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا فِي الْيَتَامَىٰ فَانكِحُوا مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءِ مَثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُوا فَوَاحِدَةً أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَلَّا تَعُولُوا

[ AN-NISAAI - 3 ]
Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Aya haikusema "oaneni na mnaowapenda katika wanawake..." Imesema "OENI"

mwanamke anaolewa tu kuoana ndo nini.

Katika hadithi imekuja pia rasuul anasema..

تنكح المرأة بأربع......"

"Huolewa mwanamke kwa mambo manne..." Hadithi ikaendelea.

Na hadithi haikutaja kuowana.

Uislamu unatambua kuoa mwanamume na kuolewa mwanamke.
joanah

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya imeandika فَانكِحُوا anaetafsiri katumia neno oeni likimaanishi uwingi lakini neno hilo linamaanisha "Marriage contract", mkataba wa ndoa. Kuna mkataba ukawa wa upande mmoja? Fikiri.

Ndiyo maana Qur'an lazima iwekwe na original Kiarabu Kwa watu kama wewe, mnaotaka kubadili maana. Neno "Oeni" Kwa Kiswahili halimaniishi kuoa au kuolewa. Soma kijana.

Halafu kasome kijana nini maana ya neno "Nikah" lililotumika kwenye hiyo aya.

Hiyo "hadith' unayoisema siyo ya Mtume hiyo, isome vizuri imeandikwa na nani? Acheni kumzulia Mtume mambo ambayo si yake.

Kama hayo hayakutoshi, narudia: kwetu hatuolewi tunaoana.
 
Mi hadithi ya nani kama sio ya mtume?

Hyo mariage contract pia ni neno la kigeni kiingereza vipi nawe unatumia ugeni huo kusapoti hoja yako?

Lete tafsiri ya kisrabau kwa kiarabu tuone.

Kwani unashangaa,mbona kuna mkataba baina ya muajiri na muajiriwa?

Ndoa ni mkataba baina ya muoaji na muolewaji usilete hayo mambo mama yangu.
Kama ingekuwa kuowana basi na mke angetoa mahari kuchangia.

Sipendi unavyopotosha maana we mama.

Nikah kwa tafsiri halisi ya Kiarabu ina maana zaidi ya moja lakini kuoa halipo. Kama unaweza kalifanyie 'research". Usingoje kila kitu kufanyiwa.

Huu uzi hauhusiani na hilo, kama unataka kufundishwa zaidi nenda uzi wangu wa maswali kaulize ntakuja kukujibu.

Hapa ukitoka nje ya mada kuwa "brief" tusiharibu uzi wa watu.
 
Back
Top Bottom