Kanzu ni vazi amazing, basi tu...

Ila Makaveli wewe...

Na picha ya PAC umeweka kwenye avatar...

Yarab nisaidie nishinde vishawishi...


Sent from my iPhone using JamiiForums

Bibie zurie nimefanyaje mamii!?

Sasa nitaweka ya nani bibie!?

Mbona unahangaika kuomba dua ngumu hivyo, upo kwenye utelezi unaomba dua usiteleze, omba dua uteleze ili iwe rahisi dua kukubalika!

We muombe rabbi akusaidie ushindwe na vishawishi!!
Kama unaona vishawishi vinaelekea nguvu zidisha maombi vikuzidie nguvu
[emoji23]🤣🤣
 

Najiona naelekea kula mua uliozamisha meli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najiona naelekea kula mua uliozamisha meli[emoji23][emoji23][emoji23]

Kula tu bibie, we hutaki utamu wa muwa!?

Meli ikizama, nakutupia boya nakuokoa mwenyewe[emoji6]

[emoji23][emoji23]
 
Mkuu hilo vazi ni tamaduni/vazi la waarabu,sio kwamba linavaliwa na dini fulani tuu,yeyote anaweza kuvaa haina shida,tatizo watu wamekariri.
Ukweli mtupu chief, mi naamua kula kanzu yangu maftaaah kuna boya anakuja na swali la kipuuzi kwani we muislamu??? Daah huwa wananikata moto kwelii.
 
Huyu bi Mkubwa FaizaFoxy mbona ana elimu nzuri tu jamani, soma nyuzi zake za nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ndugu zetu Wahaya wanao utamaduni maridhawa wa kuvaa kanzu hasa kwenye matukio muhimu kama vile sendoff. Ndoa n.k me nakumbuka mzee wangu alikuwa nayo kanzu yake maalum kwa ajili ya shughuli kama hizo.
 
😂😂😂 Nimeiona kanzu ya chattle
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimeiona kanzu ya chattle

Mkuu hizo emoji zitatupeleka Mabwepande bure[emoji23][emoji23]. Mwenzio sina mb*pu za kuminywa na pliers
 
Mkuu hizo emoji zitatupeleka Mabwepande bure[emoji23][emoji23]. Mwenzio sina mb*pu za kuminywa na pliers
😀😀😀sawa mkuu ni Tz ya viwanda ndo imetoa huo mtoko
 
Katumwa kaa tamaduni za Kiarabu haka....kachekiwe uraia haka kamama

Sent using Jamii Forums mobile app

Ama kuhusu kanzu, Agano la Kale linasema: “Ataoga mwili wote katika maji, kisha atavaa mavazi matakatifu. Ataingia mahali hapo akiwa amevaa mavazi matakatifu: joho la kitani baada ya nguo ya ndani ya suruali ya kitani na akiwa amevaa kanzu ya kitani na kujifunga mkanda wa kitani” (Walawi 16: 4).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…