Ama kuhusu kanzu, Agano la Kale linasema: “Ataoga mwili wote katika maji, kisha atavaa mavazi matakatifu. Ataingia mahali hapo akiwa amevaa mavazi matakatifu: joho la kitani baada ya nguo ya ndani ya suruali ya kitani na akiwa amevaa kanzu ya kitani na kujifunga mkanda wa kitani” (Walawi 16: 4).
Mboma kwenye msiba wa Mwinyi wengi wamevaa kanzu kuliko msiba wa Lowassa ??Mkuu hilo vazi ni tamaduni/vazi la waarabu,sio kwamba linavaliwa na dini fulani tuu,yeyote anaweza kuvaa haina shida,tatizo watu wamekariri.
InawezekanaSio vazi la asili bali liliigwa kutoka kwa waarabu miaka Hiyo
Kwanijuavyo jamii zinazotumia kanzu unakuta watawala wao Walikua na urafiki na waarabu wakawa wanapewa zawadi ya mavazi hayo mwisho wasiku yakaoneka ndio mavazi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema/kumaanisha nini hapa?Mboma kwenye msiba wa Mwinyi wengi wamevaa kanzu kuliko msiba wa Lowassa ??