Mdomo wa Bata
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 128
- 155
Hivi na hili gasho rey youngr lipo humu au limebadili I'd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe mjingaBora kabisa amekufa huyo
Acha kujipa moyo, cha msingi Mungu atupe mwisho mwema BASIIIIIwell said rafiki.
tusikariri
afokiriavyo Mungu si kama afikiriavyo mwanadamu.
tusimnenee mabaya huyu kijana
Niliona picha wakati wanaaga yaani hakukua hata na watu na waliagia saloon
Inaonesha wewe umeelewa mada, mimi sijaelewa... Pachangamaskini..
angekubali tu akaanza kutumia vidonge.
kapumzike kijana.
waswahili wataanza kukuchamba hapa ilhali huwezi kuwajibu
Mungu ndo wa kukuhumu sio binadamu mwenzio asiekamilika pia.
Kama alishindwa kukubaliana na hali yake ina maana alipima akakutwa ana ngoma!!Poleni
MmhKaoge?????
Sio unafki ni hulka ya binadamu wote. Nduguyo akiwa mzinzi na akafa hutasikitika?? Dhambi/matendo yake hayamuondolei ubinadamu alionao bado ana sifa ya kua binadamu.Binaadamu kwa unafki. Eti aende peponi,mara ooh usihukumu. Kama Mwenyezi Mungu aliweza kuuchoma mji wa sodoma na gomora,atawezaje kupindua haki hadi ampeleke mbinguni??
Najua hakuna mkamilifu wala hakuna mwenye haki ya ku hukumu isipokuwa ni yeye tu,lakini huyu kijana na wenzie wenye tabia kama hizi..wachomwe tu na vifuu kibao vya nazi.
Kila siku mnakesha kukemea ushoga,lakini akifa shoga ooh usihukumu..
Unafki on freak
Kwanini?Kaoge alimponza Zamaradi alipofanya naye mahojiano.
Kwanini?
Maadili gani hayo? Kwahiyo kufanya mahojiano na Gay ni kukosa maadili? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeehAlipewa adhabu na TCRA kwa kurusha kipindi kisicho na maadili kwa HEWA.
Maadili gani hayo? Kwahiyo kufanya mahojiano na Gay ni kukosa maadili? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh