Du noma sana,sema deo sasa ivi amekua mzito kdgKwenye mazoezi ya jana kocha aliwatenga wachezaji watano akiwemo Deo na kichuya akawataka wafanye mazoezi na kocha wa viungo akachukia akaenda kukaa kwenye gari
Ni aina ya wachezaji waliozoea mechi kubwa pia uwepo wake unawapa hofu timu pinzaniDu noma sana,sema deo sasa ivi amekua mzito kdg
Alokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!Kapombe kuanza leo uhakika ila Deo Kanda inawezekana asiwepo hata benchi
Mbona mwoga hivyo jana kafanya mazoezi na list imeshatoka kapangwaAlokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!
Unamsema Shamte lakini hata Kennedy sijui alifikaje Simba.Halafu kocha ajue mbadala sio shamte kwa mechi ya leo maana hamna kitu sijui alifikaje pale simba
Kuna viteni parcent ila leo kaanzishwaUnamsema Shamte lakini hata Kennedy sijui alifikaje Simba.
Alokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!
Jamaa mwoga kichizi anamwogopa KapombeView attachment 1504607
Kapombe huyo hapo....!!
kama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kicks to ria
Kennedy ni hatari anatumia nguvu sana kama Makame was Yanga...hatari Zaidi yeye ni beki anaweza kulizua marefa wenyewe kina Shomari Lawi hawa ooh!
huyu ni majeruhi mtamlaumu bure maana anaenda kuwa uchochoroJamaa mwoga kichizi anamwogopa Kapombe
mtamuua huyu bwanaView attachment 1504607
Kapombe huyo hapo....!!
Najua wengi wanatamani iwe hivyo ila ni ngumu kapombe kaumia kweli sio wa kurudi haraka hv
Kapigwa sindano za ganzi ili acheze km Yanga tu Kwa Papy na NiyoView attachment 1504607
Kapombe huyo hapo....!!
Adui muombee njaa si umeona kazi aliyoifanya? kama ninyi tu mlivyofurahi kwetu papy,niyoy na balama kutokuwa fiti!Mbona mwoga hivyo jana kafanya mazoezi na list imeshatoka kapangwa
Kapigwa sindano za ganzi ili acheze km Yanga tu Kwa Papy na Niyo
mtamuua huyu bwana
Watu kujifanya wajuaji kumbe wapuuzii tu,unajifanya unajia kila kitu kuliko kochaAlokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!
mkuu mmetukata maini aseeh kwa mpira leo yanga tumezingua sanaUlikuwa unapiga sana domo humu,hiyo 4:1 kwenye avatar yako ndo idadi halisi ya mechi ya leo,kila mda uwe unaangalia hiyo avatar yako kukumbukia kipigo cha simba
Sio mmezingua sema hamna timumkuu mmetukata maini aseeh kwa mpira leo yanga tumezingua sana