koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Du noma sana,sema deo sasa ivi amekua mzito kdgKwenye mazoezi ya jana kocha aliwatenga wachezaji watano akiwemo Deo na kichuya akawataka wafanye mazoezi na kocha wa viungo akachukia akaenda kukaa kwenye gari