Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

Kwenye mazoezi ya jana kocha aliwatenga wachezaji watano akiwemo Deo na kichuya akawataka wafanye mazoezi na kocha wa viungo akachukia akaenda kukaa kwenye gari
Du noma sana,sema deo sasa ivi amekua mzito kdg
 
Kapombe kuanza leo uhakika ila Deo Kanda inawezekana asiwepo hata benchi
Alokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!
 
Mbona mwoga hivyo jana kafanya mazoezi na list imeshatoka kapangwa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Alokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!

IMG_0878.jpg

Kapombe huyo hapo....!!
 
kama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kicks to ria
Kennedy ni hatari anatumia nguvu sana kama Makame was Yanga...hatari Zaidi yeye ni beki anaweza kulizua marefa wenyewe kina Shomari Lawi hawa ooh!
 
Alokwambia kapombe anaanza leo nani? Kapona lini, mazoezi ya peke yake kafanya lini,ya pamoja na wachezaji wenzie kafanya lini na kikubwa zaidi match fitness hawezi kuwa nayo si mna kikosi kipana ninyi? tuwekeeni pazia lile shamte muone!
Watu kujifanya wajuaji kumbe wapuuzii tu,unajifanya unajia kila kitu kuliko kocha
 
Ulikuwa unapiga sana domo humu,hiyo 4:1 kwenye avatar yako ndo idadi halisi ya mechi ya leo,kila mda uwe unaangalia hiyo avatar yako kukumbukia kipigo cha simba
mkuu mmetukata maini aseeh kwa mpira leo yanga tumezingua sana
 
Back
Top Bottom