Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
- Thread starter
-
- #401
Kwa sababu hao madikteta sio wazalendo. Wangekuwa madikteta wazalendo kama kina Mao Zedong tungekuwa tunaongea mengine.Tunaongelea Afrika, udikteta wetu ni wa enzi na enzi lakini kila uchao tunaendelea kuwa maskini.
Aliyekuambia ujerumani ya Hitler ilikuwa na vyama vingi alikudanganya. Hitler alivyoingia madarakani alifuta mfumo wa vyama vingi kikabaki chama cha Nazi peke yake.Unajua hata Ujerumani ya Hitler ilikuwa na vyama vingi kama wewe kwa akili zako unafikiri kuwa na vyama vingi ndio demokrasia na hata Rwanda kuna vyama vingi.
Wala kunguni😄Hapo hakuna machawa wa kupiga mapambio… lazima nchi isonge mbele..!!
Kwa hiyo akafika wapi na hiyo Nazi yake.Watanzania sio wajinga. Wajinga wapo wachache sana. Bahati mbaya pale juu wanashikilia wajinga kiasi kwamba wote tunaonekana wajinga.
Sasa mi naona nchi wachukue mabaka kama Bukinabe ili wale wajinga na wavivu wakione cha moto. Kazi iwe kazi miaka 20, hata viwanda vya magari vitakuwepo. Watu watazoea kazi. Uchawa utaosha. Ulaji wa kijinga hautakuwepo.
Sasa kama hujui China imeanza kubadilika baada ya kifo cha dikteta Mao 1976 na kuingia akina Zao Ziyang na kufutilia mbali sera za kikomunisti za Mao kwenye maswala ya uchumi.Kwa sababu hao madikteta sio wazalendo. Wangekuwa madikteta wazalendo kama kina Mao Zedong tungekuwa tunaongea mengine.
Huna hoja wewe jihadist wa kijiweni.Aliyekuambia Afrika inaongoza kwa uditekta duniani alikudanya.