Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?Saudi Arabia au angalia nchi kama North Korea na China hazifuati demokrasia.
Yupo sahihiKiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Ni wapumbavu hamuelewi , demokrasia ni ujinga kabisahao ni symbolic, hawana lolote katika dictates za nchi zao! Jaribu kuyaelewa haya mamboMA
TUSI YA NINISASA? HUWEZI KUJIBU HOJA BIA NENO MPUMBAVU? BASI MUULIZE MAMA YAKO KAMA MIMI NI MPUMBAVU
Ngoja nikupigie konection mrembo ukawe wife wa mjeda nasikia bado yupo singleHapo hakuna machawa wa kupiga mapambio… lazima nchi isonge mbele..!!
Acha uongo ...Wazungu hawana democrats endelea kusikiliza kwenye redio... Nitakupa baadhi ya facts utashngaa...HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
Africa demokrasia bado wakati wake haujafika, Africa inahitaji viongozi wenye maono na dhamira ya kweli wataoleta mapinduzi ya siasa,uchumi nk, kupitia viongozi hawa mifumo ndio itawekwa na demokrasia ndio itakuwa rahisi kui
Demokrasia haileta maendeleo ,hiyo ni idea ya mtu haikuwahi kuleta maendeleoUoga tu
Demokrasia ina ubaya gani
Pia nyie waafrika hata mkipewa mfumo gani mna matatizo ya kikili hizi demokrasia sijui nini ni visingizio
Hao kina Magufuli , kagame , mseven je wameleta impact gani katika nchi zao?
Hawazikimbii nchi zao eti kwasababu hazina demokrasia. Hata hizo nchi za Western world wanazozikimbilia nyingi demokrasia yao ni ya kimchongo mfano Uingereza. Wengi huzikimbia nchi kama za uarabuni kutokana na interests zao binafsi.HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
Demokrasia haileta maendeleo ,hiyo ni idea ya mtu haikuwahi kuleta maendeleo
never....... kama umeishi huko na kuongea na wakimbizi wa nchi hizo usingeliandka hvyo. Uingereza demokrasia ya kimchongo kwa vipi? toa mfano.....Hawazikimbii nchi zao eti kwasababu hazina demokrasia. Hata hizo nchi za Western world wanazozikimbilia nyingi demokrasia yao ni ya kimchongo mfano Uingereza. Wengi huzikimbia nchi kama za uarabuni kutokana na interests zao binafsi.
Huyo ataninyonga kabla jogoo alfajili hajawika 😹😹Ngoja nikupigie konection mrembo ukawe wife wa mjeda nasikia bado yupo single
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya maziwa.....akiona titi lako tuu unanywea...tunampindua nakuja mie kukalia kiti cha urais unakuwa my wife first ladyHuyo ataninyonga kabla jogoo alfajili hajawika 😹😹
Demokrasia ya Uingereza ni ya mchongo kwasababu waziri mkuu wake anateuliwa na mfalme. Yaani kiongozi wa chama chenye viti vingi bungeni ndo anateuliwa kuwa waziri mkuu. Na ikitokea vyama vyote vina idadi sawa ya viti( hung parliament) mfalme atamteua mtu atakayeona anafaa kuwa prime minister. Wananchi wao wanachagua wabunge tu ila mamlaka za juu haziwahusu. Sasa kwenye hilo demokrasia ipo wapi?never....... kama umeishi huko na kuongea na wakimbizi wa nchi hizo usingeliandka hvyo. Uingereza demokrasia ya kimchongo kwa vipi? toa mfano.....
kama ni U-King na U-malikia, hao ni symbolic, hawana maamuzi yoyte kwa mtu wa kawaida.... hawaamui nani alipwe nini? nani aseme nini? nani awe Judge nani awe balozi, etc etc
udikiteita wetu ndiyo maana mama nagawa hela za umma kama zake vile kwa anaowapenda. Uingerea hakuna kitu kama hicho as an example of democracy
ccm ipinduliwe watanzania tumedumazwa sanaKiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
😹😹 Akili zako unazijua mwenyewe mzabzabHakuna mkate mgumu mbele ya chai ya maziwa.....akiona titi lako tuu unanywea...tunampindua nakuja mie kukalia kiti cha urais unakuwa my wife first lady
Mie sina akili bby.😹😹 Akili zako unazijua mwenyewe mzabzab
Ha ha ha haYaani una maana haijui Dunia kuliko wewe? 😂😂
Tena kwa Kasi ya supersonic.Hapo hakuna machawa wa kupiga mapambio… lazima nchi isonge mbele..!!