Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
University of Botswana (Gaborone)kinaitwa ivyo maana mwakan ntaweza kua kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
University of Botswana (Gaborone)kinaitwa ivyo maana mwakan ntaweza kua kule
Nimeuliza tu kama kukengeuka na kushindwa kuongea huko ni habari za kweli; na kama kumetokana na stroke ama la. Sasa mambo ya kupata mswaki wa Fasihi sijui yanatoka wapi. Walangira bwana !!!Hahahahha mkuu literature ulipata mswaki au?
Jamaa anamaanisha kuwa yule mzee amekengeuka yale alokuwa anayapondea ndo anayatenda yani kiufupi anakula matapishi yake.
Babu alikua navyo vingi mno hadi vya watunzi Wengine kama Kuli,tumgidie Bwege,Mtu ni utu,muhi huwa mwema, unyama wa mafia nk.Bado una hivyo vitabu?
Kwa maelezo haya huyu KB ni kweli bado yupo na anasumbua na maelezo yake sumbufu kwa njia tuitayo kupitisha maadili na ustawi wetu....! Ila kwa sasa hatutafuata maelezo yake sumbufu...tutatafuta 'shoti kati'...! Ingawa njia tutakayopita itakuwa na vikwazo kadhaa na vinavyovumilika...lakini itakuwa fupi na tutafika haraka. Tukifika huko huyo KB tutam'tag' kwenye mtandao wetu ajionee mapicha na mavideo kedekede ya ustawi wa nchi yetu. Asubiri aone.
Animal farm kinapatikana online unaweza kuagiza copy Amazon
PamojaBabu alikua navyo vingi mno hadi vya watunzi Wengine kama Kuli,tumgidie Bwege,Mtu ni utu,muhi huwa mwema, unyama wa mafia nk.
Sema mda umepita tokea afariki 1994 ngoja nikafukue makaburi kama bado kuna masalia
Na wasomaji bora wa hizo fasihi na maandiko mbalimbali walikuwepo pia maana mtu yupo primary anasoma andiko ambalo halina hata pichaMkuu zamani wabongo walikuwa wanaandika Fasihi bora sana. Sikuhizi ukikuta riwaya zinazouzwa hazivutii hata kusoma na macover yao ya marangirangi.
Nilibahatika kusoma Dunia uwanja wa fujo.Hicho Kaptula la Marx sijawahi soma. Ni wakati wa serikali na Baraza linalohusika wafungulie vitabu walivyofungia. Kuna kile shamba la wanyama/ Animal farm na kile the dark side of Nyerere. Hakuna haja ya kuendelea kuvifungia. Kuna kitabu kimoja cha zamani kinaitwa Bosi, umewahi kisoma?
View attachment 863547
nyongeza katika hayo
"Korchnoi" ni jina la Kirusi, "Brown" ya Kiingereza; hii inarejea njia ya Tanzania ya Nyerere kati ya "mashariki" ya kikomunisti na "magharibi" ya kibeberu
Svoboda: neno la Kirusi la kumaanisha "uhuru"; jina la nchi larejea wito wa mapinduzi ya Kifaransa -taz. chini-
Fraternite: neno la Kifaransa la kumaanisha "undugu" - ni moja ya wito 3 za mapinduzi ya Kifaransa "liberte, egalite, fraternite" (uhuru, usawa, undugu)
Gudume hujawahi kuniangusha, shukrani sana umenikumbusha mbali sana, Dunia inaenda kasi Sana vitabu kama KIVULI KINAISHI, KAPTULA LA MAX nk sasa hivi vimewekwa kapuni japo ni vitabu vinavyo fikirisha sana.