Aisifiae mvua imemnyea, walishaumwa na nyoka hawa!!! Wamesahau tabia haina mrefu wala mfupi, mnene wala mwembamba
Yaah itz very true, nanii zao ziko well composed.. Hazijanyambuka na kuzomea kama za matoli..Hilo ni kweli kabisa nilijaribu wawili nikakutana na hiyo kitu
kila kitu kina uzuri na ubaya wake,mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo!
-wafupi ni watamu sana kwenye sex,lkn mvuto wa nje hamna kitu
-warefu ni wana mvuto wa nje/good outlook sana tu,na ujiko kutembea nao njiani/wazur kwa show off,lakini linapokuja swala la sex ni wabaridi sn kule chini yaani hawanati aise,kiufupi ni chapwa chapwa tu.
So mdau chaguo ni lako,ama wakuuzia sura/tall au wakufurahia tendo/short
kwani we ni short chasis ?
karibu mkuu,hii ndo jf suluhisho la mambo yote!we ukimiss kutabasamu tu basi mtembelee rafiki wako wa ukweli jf.YAANI TOKA NIMEJIUNGA JF HII COMMENT YAKO MKUU IMENICHEKESHA MNO NA KUNIONDOLEA STRESS ZOTE...
Daaah... MKUU UMEUA NA KUONGEA UKWELI % Zooooooooooteeeeeeeee....
Kweli JF ni nouuuuumaa@...
Shuhuda zote hizi we unaona uongo?mapenzi hayaangalii kimo wandugu kwa hiyo si vizuri ku-generalize, la muhimu ni KUJIFUNZA na KUJITUMA kila iitwapo leo. hasa kwa kujua STYLES za kumridhisha mpenzio.