Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Karaha na raha za mabinti "Short Chasis"

Huwa hawawapendi wafupi wenzao.Utasikia "sipendi wanaume wafupi" wakati chenyewe kimbilikimo kabisa.
Ila wabongo wengi wafupi Si wanaume Si wanaume Si wanawake.
 
Ufupi Bongo umetamalaki aisee, hiv mbegu ndefu zilipotelea wapi jamani? yaan kila kona TUJITU TUFUPIIIII
 
wanawake wafupi wana maneno jamanii siku mmetibuana ndo utawajua kiundani maana full kukoropoka utatukanwa wewe na ukoo wako wote ndani ya sekunde 60 za magic.
 
He hee! Kuna rafiki zangu wanapenda sana hao andunjee! Mimi napenda wale super tall yani namfikia kwenye shingo, then avae high heals ili nimkamatie kiuno vizuri...
 
Mtoa maada lazima ni chadema.

Ufipa baada ya kugaragazwa wamebakiza topic za ajabu sana
 
Watoto wafupi watamu bana...acha kabisa!
 
kila kitu kina uzuri na ubaya wake,mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo!
-wafupi ni watamu sana kwenye sex,lkn mvuto wa nje hamna kitu
-warefu ni wana mvuto wa nje/good outlook sana tu,na ujiko kutembea nao njiani/wazur kwa show off,lakini linapokuja swala la sex ni wabaridi sn kule chini yaani hawanati aise,kiufupi ni chapwa chapwa tu.

So mdau chaguo ni lako,ama wakuuzia sura/tall au wakufurahia tendo/short
 
Kiukweli jinsia zote wafupi wana matatizo tofauti na warefu kwanza hawajiamini kisha wanataka waonekane nao wapo basi ni vurugu mechi wa gumu kuelewa wepesi kusahau.
 
kila kitu kina uzuri na ubaya wake,mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo!
-wafupi ni watamu sana kwenye sex,lkn mvuto wa nje hamna kitu
-warefu ni wana mvuto wa nje/good outlook sana tu,na ujiko kutembea nao njiani/wazur kwa show off,lakini linapokuja swala la sex ni wabaridi sn kule chini yaani hawanati aise,kiufupi ni chapwa chapwa tu.

So mdau chaguo ni lako,ama wakuuzia sura/tall au wakufurahia tendo/short

YAANI TOKA NIMEJIUNGA JF HII COMMENT YAKO MKUU IMENICHEKESHA MNO NA KUNIONDOLEA STRESS ZOTE...
Daaah... MKUU UMEUA NA KUONGEA UKWELI % Zooooooooooteeeeeeeee....

Kweli JF ni nouuuuumaa@...
 
kama unaweza kuona kisogo chako, basi hata nyani siku hizi anaweza kuona kundul.e! kweli hii yako ni zaidi ya digitali!
 
YAANI TOKA NIMEJIUNGA JF HII COMMENT YAKO MKUU IMENICHEKESHA MNO NA KUNIONDOLEA STRESS ZOTE...
Daaah... MKUU UMEUA NA KUONGEA UKWELI % Zooooooooooteeeeeeeee....

Kweli JF ni nouuuuumaa@...
karibu mkuu,hii ndo jf suluhisho la mambo yote!we ukimiss kutabasamu tu basi mtembelee rafiki wako wa ukweli jf.
 
utamu wa tujitu tufupi haumithiliki maana ni utamu zaid ya Sukari guru lakini utashangaa ndo watu wanaodharaulika kupitiliza
 
Back
Top Bottom