Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

Ushindi wa Karamagi kunyakua Uenyekiti wa CCM Kagera, ni dalili kuwa ccm inarudi ilikokuwa 2010-2015.
Hkn mziwe na mawazo hayo kila mtu Ana uwezo wa kuomba kugonbeaa siyo kila kitu timu msoga siyo sawa

Kwa hyo leo kina dialo wameondoka bado tu hamuoni kuwa Ni utashi wa mtu tu na pesa zako kuweza kuwa mwenyekiti wa ccm

Pesa zako tu mkuu wakina kyoma siyo wajinga
 
Halafu team sukumagang ikionekana hali ni tete kweli kweli! Ukisikia kutesa kwa zamu, ndiyo huku sasa!

Leo hii akina Bashiru Ali ndiyo wamekuwa watetezi wa wakulima! Ila alipokuwa Katibu Mkuu wa chama, alichokumbuka ni kumtetea tu Mwenyekiti na chama chake.
Eti mkuu alfi chadema wanamuita shujaa dah [emoji1787]
 
Back
Top Bottom