Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

Ushindi wa Karamagi kunyakua Uenyekiti wa CCM Kagera, ni dalili kuwa ccm inarudi ilikokuwa 2010-2015.
Hkn mziwe na mawazo hayo kila mtu Ana uwezo wa kuomba kugonbeaa siyo kila kitu timu msoga siyo sawa

Kwa hyo leo kina dialo wameondoka bado tu hamuoni kuwa Ni utashi wa mtu tu na pesa zako kuweza kuwa mwenyekiti wa ccm

Pesa zako tu mkuu wakina kyoma siyo wajinga
 
Eti mkuu alfi chadema wanamuita shujaa dah [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…