Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

Bashiru asali imepungua ndio maana analalamikia asali yake. Ccm yote ni mishenzi tu haina nia na kusaidia the commoners.
 
Siasa ni mchezo mchafu mkuu.
Watu wanapomshabikia Bashiru sio kwa vile wanampenda bali kuchochea kuni ndani ya ccm wavurugane zaidi.
Nimewasoma San Leo hi bashiru shujaaa kwa lipi labda huyo mweu aliyempanga jiwe kuwa rais wa milele
 
Ulipo mzoga ndipo wanapokusanyika tai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…