Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Hapo kwenye ubongo wa
Hapo kwenye ubongo wa kondoo hapo
 
You have made my day Mshana Jr.
 
Hilo pande ni nundu kinga bora ya ngumu kumeza tumboni kwa ajili ya kulinda mabandama
 
Kende za mbuzi izo sjawahi kula aisee zina ladha kama ya kitu gani?
Nenda uchagani. Huko zinalika siku nyingi sana au niseme ni jadi. Mbuzi akichinjwa leo, zinawekwa kesho yake zinachemshwa na ni wanaume tu wanaoruhusiwa kula. Uchagani nyama kama utumbo, mapupu (mapafu), taulo, (imefanana na taulo) na damu (kichuri) zimeanza kutumika siku nyingi sana.
 
Bila supu ya ngozi top 10 yako batili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…