Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Pombe ya mnazi kumbe inasababisha uendawazimu!
Watu walitarajia makubwa Sasa wameisoma namba ya kirumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe ya mnazi kumbe inasababisha uendawazimu!
Atajenga nyumba, kununua gari, kusomesha n.kWatu wengine wehu, huyo karani anayepokea TGOS B ametumika vibaya kuongea huo upuuzi yaani ongezeko la 23.% kwenye TGOS is nothing.
Kwa hili ongezeko aondolewe ulinzi kabisa this bitchJamani mama TISS wamwongezee ulinzi sana sana. Hatutakubali auliwe kizembe kama walivyomuua jiwe.
Vipi ameanza ujenzi?Atajenga nyumba, kununua gari , kusomesha n.k
waliingizwa chaka na kale kamalaya ka halimaVipi Karani ameanza ujenzi wa nyumba ya baba ake baada ya ongezeko la 23% kwenye mshahara wake?
Labda ujenzi wa tackleVipi ameanza ujenzi?
Na miaka mingapi?Tena aongezewe ulinzi.
Akae mbali na wanaoenda Ikulu kunywa juisi wasimwambukize Corona.
Asante sana mama.
Hatari snLabda ujenzi wa tackle
Karani katika halmashauri ya Muheza jijini Tanga, Saum Juma amesema ongezeko la mshahara lililotangazwa na Rais Samia Suluhu litawanufaisha kwa vitu vingi ikiwemo kununua viwanja, kujenga nyumba, kusomesha wadogo zao, kuwasaidia baadhi ya ndugu zao matumizi mbalimbali.
Akijitolea mfano yeye, kasema mshahara ukiongezeka ataweza kumjengea baba yake nyumba, kumnunulia gari kutokana na ongezeko hilo.
Kwa upande wake mkuu wa Wilaya ya Muheza, Halima Bulembo amesema watumishi wa Wilaya ya Muheza wamemshukuru na kumpongeza Rais Samia kwa ongezeko la mshahara la 23.3%.
Halima Bulembo amesema yeye kama kiongozi wao watumishi walimfata na kumwambia kwa kuwa rahisi yeye kumfikia Rais, amfikishie salam zao kwani inatambulika watumishi walikuwa hawajaongezewa mishahara kwa miaka sita sasa na mama kawaongezea mwaka wa 7.
Watumishi wamesema wanamuombea Mama Samia kwa Mungu
View attachment 2228029