Karantini ya Diamond Platnumz ni kama shindano la Big Brother

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813

======

MAGO, Amechangia hii mada na kusema;

Nimeona clips kadhaa za wasanii wa Wasafii eti wako kwenye isolation (kalantin) kwa sababu za mwenzao Salam kukutwa na maambukizi baada ya kuwa safari ya pamoja katika nchi za ulaya.

Makosa ambayo yanafanywa na wasanii na bila kupewa muongozo wa watu wa afya wa namna/maana ya quarantine.

Kwanza katika kipindi hiki cha kuwa in isolation hupaswi kuwa na any form of physical contact na watu ama vitu ambavyo vitatumiwa ama kuguswa na wengine, kifupi unakuwa katika mahala pa peke yako.

Hii ni kwa sababu katika kipindi hiki unaweza kuwa umeambukizwa ila symptoms ama vipimo visionyeshe maambukizi. Ni kipindi cha tahadhari dhidi ya kuambukiza wengine na pia kuona preliminarily kama utapata any symptom related to COVID.

Sasa hawa jamaa kukaa katika one house kukiwa na all forms of physical contacts baina yao ama na vitu ambavyo huguswa na wenzako inaondoa maana nzima ya karantini?? Why

Endapo kuna mmoja tu miongoni mwao alikuwa ameambukizwa na subject 1 ambaye ni Salam basi na wengine wote wanaweza kuwa katika risk ya kuambukizwa humo walikolundikana.

Hivyo basi ilipaswa kila mmoja awe katika chumba chake kwa kipindi chote cha siku 14 ili kutimiza matakwa ya quarantine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilimshangaa Hamisi Mwijuma a.k.a alivyokuwa analeta masihara mwanzoni anaelezea korona iliyompata kama vile ni vijimafua flan hivi
Hapo diamond anafanyaje masihara? Ugonjwa uwezi ukawa kisingizio Cha kutofanya shughuli zako ndomaana wewe unafanya kazi Kama kawaida hapo diamond ametumia Kama sehemu ya kupata kipato na hajawahi kuleta dhiaka kwenye ugonjwa wa Corona Kama alivyofanya Mwana fa ndomaana pamoja na kutumia Kama sehemu ya kumuingizia kipato lakini pia anatumia nafasi hiyo ya kutoa elimu ya kujizuia na Corona kwa raia.
 
Watanzania wanaimba corona corana tuonyeshe makali yako. Corona where is thy sting bana? Muda utatupa jibu bila shaka.
 
kuna watu wanacomment utadhani wamekatika vichwa, yaani mtu yupo karantini matahira wanadai kiki?? basi nawe ulivyocomment hapa unatafta kiki
 
Mpfyuuuuuuuuuuuuuuuh

Uchi kila mtu anao tatizo matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…