Karata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa shimoni na ndo Utakua mwisho wake na Yule mshauri Wake

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini zao hiyo kwasaa umechelewa maana mauaji hayakuchagua dini wala maandamano hayakua ya dini yoyote wote walipigwa risasi sasa kalata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa kwenye shimo kubwa kabisa na kushindwa kutoka Tuombe uzima
 
Huyu mama na watu wake jamani sijui ufikiriaji wao ukoje? Hii si karata waliyoitumia kabla ya uchaguzi? Imewasaidia nini? Hivi wanajua kuwa hao masheikh ubwabwa hakuna anayewasikiliza siku hizi? Waislam sisi tunafata dini na si mtu. Wrong move as always.
 
Kila wanachofikiri kwamba kinaweza kuwa wanaweza tokea, wanajikuta waharibu zaidi
 
Kila wanalolifanya ndilo linaangamiza taifa kabisaaa ... sasahiv taifa linaenda kwenye mgawanyiko wa udini
 
Huyu mama na watu wake jamani sijui ufikiriaji wao ukoje? Hii si karata waliyoitumia kabla ya uchaguzi? Imewasaidia nini? Hivi wanajua kuwa hao masheikh ubwabwa hakuna anayewasikiliza siku hizi? Waislam sisi tunafata dini na si mtu. Wrong move as always.
dalili za kupaniki udini unatumiwa na watu walioishiwa hoja
 
Kila wanalolifanya ndilo linaangamiza taifa kabisaaa ... sasahiv taifa linaenda kwenye mgawanyiko wa udini
Hutuwezi kugawanyika kwenye udini yeye abebe msalaba wake
 
Sasa Genzee na dini za kuja kwa majahazi wapi na wapi kama sio kujilisha upepo tu?
 
Gen z na dini wapi na wapi si waendaji msikitini wala kanisan kuwaleta katk mwamvuli wa dini ni kazi bure gen z wana amin ktk Mungu ila muda wa kuanza kusikiliza viongoz wa dini wanaopayuka hawanaga
 
Uzuri GenZ wao wanataka Haki na wala GenZ sio watu wa Msikitini wala kanisani walianza kuja Hoja za udini naona zimekufa kibudu
 
Kwanza gen z kanisani hawamo misikitini hawapo
Me nina rafiki zangu waislam kibao mama hawamuelew kwanza wanasema si halali mwanamke kushika nyadhifa ya urais eti nch nzima iwe chni yake
 
Hivi erythrocyte yuko wapi jamani!?..mwenye mawasiliano nae atujuze
Si aliaga pale Mlimani City baada ya kupigwa chini kuwa anaenda kutafuta mafekechee au umesahau mkuu? Yupo anabunya taratibu zile b12 alizopewa na mama Dully, nyie mnaokomaa kumsifia mama Dully mpo mnapiga miayo tu hadi vinywa vinatoa uvundo.
 
Nisanue,ilinipita hii,yaani!?
 
Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini zao hiyo kwasaa umechelewa maana mauaji hayakuchagua dini wala maandamano hayakua ya dini yoyote wote walipigwa risasi sasa kalata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa kwenye shimo kubwa kabisa na kushindwa kutoka Tuombe uzima
Sikuwahi kujua kuwa kumbe huyu "mtu" ni empty headed kiasi kile...unawatumiaje BAKWATA??
 
Back
Top Bottom